Kwanini gesti?

Kwanini gesti?

VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?

mvumilivu hula mbivu mamiiiii
 
labda nibase kwenye point ya kamanda kimey na niulize suala hili la nyongeza , je ukipelekwa faifu star hotel utakuwa umezarauliwa pia au ni gesti za uswahilini tu ndio zinaapply kwenye hii golden rule?

Popote pale kama unanitia maanani huwezi kunipeleka kila tunapokutana!
 
Kimey, umeona jibu hilo. Ukweli ni huu 🙂

VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
 
Klorokwini naona Lizzy anataka kuondosha faif star ya uswazi.

Ujue wengine guest ina hadhi kaa Holiday Inn kwao 🙂)
 
mkuu gesti zinashambuliwa wee umekaa tu. do something CPU

Treni iliniacha mkuu, nikakuta mna-comment kwa kasi ya ajabu kuliko kasi ya kuilipa dowans, kiasi hata point zangu hamzioni . . . ikabidi nianze kuchomekea ili nionekane tunaenda sawa . . . lol
 
Klorokwini naona Lizzy anataka kuondosha faif star ya uswazi.

Ujue wengine guest ina hadhi kaa Holiday Inn kwao 🙂)
hilo ndio tatizo mwalim, yaani sisi wa gesti za uswazi tunaanzishiwa sredi wale wa faifu star wanaonekana malover boy. hii sredi imetuzalilisha sana. najutaa kuwa na laptop
 
lizzzy unataka wapelekwe wapi hujui gesti za mjini siku hizi zina hadh ya hotel:laugh:
 
Wanawake mnalilia usawa wakati wote, lakini linapokuja suala la mapenzi au pesa mnamsukumia mwanamme kuwa 'aongoze'.
😀
Kulilia usawa hakuleti usawa!Mwanamke hawezi kua wala kuchukua nafasi ya mwanaume hata siku moja!
Kua na say hakubadilishi ambacho tayari kimekusudiwa!Yani mpaka ukatae kwenda tayari mwanaume atakua ametaka kukupeleka kwa hiyo kama ni ishu ni kukudharau au kukuficha kawake atakua ameshaonyesha nia!Kuhusu wakaka siwezi kuwaongelea!
 
Lizzy anataka apelekwe LONJI sio gest hausi . . . . nimeshamsoma
 
VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
Hivi unajua sometimes hata neno la kwanza tu la kumwambie mtu unayemtaka linaweza likakupa chance ya kuongeza la pili au kibuti cha kutokupata chance tena,

kwahiyo ni vema kama ukijenga plan ya kupelekana polepole step by step mpaka mnapojuana vema.., siwezi siku ya kwanza tu nikakwambia kwamba Osama ni Babu yangu na Bibi yangu ni mchawi mkubwa kijijini kwetu.., ila with time takwambia hayo yote.
 
Mimi nalala kwa kuhama hama, sometimes nalala kwa marafiki, stendi ya basi, gesti za uswazi mara moja moja . . . n.k.
Sasa kama nataka nitoke na wewe Lizzy unataka nikupeleke wapi ili uone ndio hadhi yako?????:coffee::coffee:
 
Hata ukikataa dhamira ya kuwa alitaka kukupeleka guest ipo na haifutiki, kwa hiyo alikwisha kudharau ndani ya nafsi yake, umezuwia kukudharau kwa matendo tu.

Kumbe ehh...sawa na jibu langu kwenye swali lako la 'kwani wanawake hawana say'
 
hilo ndio tatizo mwalim, yaani sisi wa gesti za uswazi tunaanzishiwa sredi wale wa faifu star wanaonekana malover boy. hii sredi imetuzalilisha sana. najutaa kuwa na laptop
Hommie nshakukanya ujue! Wewe do once unaijua ya RA na mwenzie wa LA?
 
Kwa hiyo hapo tumebakiwa na option ya mwanamme asiyewahi kutaka kukupeleka guest (au aliyetaka lakini hukujua or else itakuwa keshakudharau), lazima hali iwe tete kwenye soko la kutafuta mwenza.

Nionavyo ni sawa kujiwekea standards zako kama an individual lakini tujiepushe kuwatazama watu kwa viwango tulivyojiwekea sisi.

If we are kwenye kundi la if it's a five star hotel then maybe I will go basi lazima tuwaelewe wale wenye kuona guest house ni poa tu.
Heck, kuna watu wanamalizana vichakani kabisa, guest house kitu gani bwana.

Kulilia usawa hakuleti usawa!Mwanamke hawezi kua wala kuchukua nafasi ya mwanaume hata siku moja!
Kua na say hakubadilishi ambacho tayari kimekusudiwa!Yani mpaka ukatae kwenda tayari mwanaume atakua ametaka kukupeleka kwa hiyo kama ni ishu ni kukudharau au kukuficha kawake atakua ameshaonyesha nia!Kuhusu wakaka siwezi kuwaongelea!
 
Bado sijaelewa ishu hapa ni nyoka, guest au getto?

Uliza pia na hii mikoa yetu ya we niangusage tu...dhambi utapataga...mtafikishana vp guest au nyumbani zaidi ya vichakani
 
Back
Top Bottom