VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
labda nibase kwenye point ya kamanda kimey na niulize suala hili la nyongeza , je ukipelekwa faifu star hotel utakuwa umezarauliwa pia au ni gesti za uswahilini tu ndio zinaapply kwenye hii golden rule?
VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
mkuu gesti zinashambuliwa wee umekaa tu. do something CPUKwani Robot ndo atawasha taa?
Nimeona mwalimu ndo maana nakuheshimu lile somo la maarifa ulipo nifundisha ctalisahau!Kimey, umeona jibu hilo. Ukweli ni huu 🙂
mkuu gesti zinashambuliwa wee umekaa tu. do something CPU
hilo ndio tatizo mwalim, yaani sisi wa gesti za uswazi tunaanzishiwa sredi wale wa faifu star wanaonekana malover boy. hii sredi imetuzalilisha sana. najutaa kuwa na laptopKlorokwini naona Lizzy anataka kuondosha faif star ya uswazi.
Ujue wengine guest ina hadhi kaa Holiday Inn kwao 🙂)
Kulilia usawa hakuleti usawa!Mwanamke hawezi kua wala kuchukua nafasi ya mwanaume hata siku moja!Wanawake mnalilia usawa wakati wote, lakini linapokuja suala la mapenzi au pesa mnamsukumia mwanamme kuwa 'aongoze'.
😀
Hivi unajua sometimes hata neno la kwanza tu la kumwambie mtu unayemtaka linaweza likakupa chance ya kuongeza la pili au kibuti cha kutokupata chance tena,VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?
we acha tu.... sijui huwa tunaenda gesti na mapimbi?Mdogomdogo tu hommie tutafika wanata uwapeleke geto then waache gagulo zao! Lol
Hata ukikataa dhamira ya kuwa alitaka kukupeleka guest ipo na haifutiki, kwa hiyo alikwisha kudharau ndani ya nafsi yake, umezuwia kukudharau kwa matendo tu.
Hommie nshakukanya ujue! Wewe do once unaijua ya RA na mwenzie wa LA?hilo ndio tatizo mwalim, yaani sisi wa gesti za uswazi tunaanzishiwa sredi wale wa faifu star wanaonekana malover boy. hii sredi imetuzalilisha sana. najutaa kuwa na laptop
Kulilia usawa hakuleti usawa!Mwanamke hawezi kua wala kuchukua nafasi ya mwanaume hata siku moja!
Kua na say hakubadilishi ambacho tayari kimekusudiwa!Yani mpaka ukatae kwenda tayari mwanaume atakua ametaka kukupeleka kwa hiyo kama ni ishu ni kukudharau au kukuficha kawake atakua ameshaonyesha nia!Kuhusu wakaka siwezi kuwaongelea!
Bado sijaelewa ishu hapa ni nyoka, guest au getto?