Kwanini gesti?

Klorokwini naona Lizzy anataka kuondosha faif star ya uswazi.

Ujue wengine guest ina hadhi kaa Holiday Inn kwao πŸ™‚)
Wala jamani!Ila nataka wafanyakazi wake wapewe break kidogo ya kufua na kuwatandikia vitanda siku wakiamua kupumzika nyumbani!
 
Bado sijaona Lizzy akijibu point yangu?
 
Uliza pia na hii mikoa yetu ya we niangusage tu...dhambi utapataga...mtafikishana vp guest au nyumbani zaidi ya vichakani
alafu we quinty shauriro mi siseme!
 
kwahiyo ni vema kama ukijenga plan ya kupelekana polepole step by step mpaka mnapojuana vema.., siwezi siku ya kwanza tu nikakwambia kwamba Osama ni Babu yangu na Bibi yangu ni mchawi mkubwa kijijini kwetu.., ila with time takwambia hayo yote.

Nakubali ila katika hicho kipindi cha kupelekana gesti kama sipati hali yako halisi (unanificha)huoni kwamba ntakua najijengea picha nnayoijua mimi ambayo inaweza kuwa tofauti sana na hali yako!
 
Nakubali ila katika hicho kipindi cha kupelekana gesti kama sipati hali yako halisi (unanificha)huoni kwamba ntakua najijengea picha nnayoijua mimi ambayo inaweza kuwa tofauti sana na hali yako!

True lakini the fear of loosing you maybe naona wewe kudhani sikupendi sana ni bora, kuliko kuona ninaishi nyumba ya kupanga yenye choo cha ku-share na mtaa mzima. Au naogopa mtoto wa watu usije ukaugua ugonjwa wa ngozi kwa kulala kwenye godoro langu, na bado ninachanga pesa ninunue godoro jipya.
 
Mimi nalala kwa kuhama hama, sometimes nalala kwa marafiki, stendi ya basi, gesti za uswazi mara moja moja . . . n.k.
Sasa kama nataka nitoke na wewe Lizzy unataka nikupeleke wapi ili uone ndio hadhi yako?????:coffee::coffee:
Hehehe..kama hivyo ndivyo unavyoishi basi nipeleke huko huko!
 
Tukiacha mzaha jamani, naomba akina dada waelewe kwamba mwanaume kukupeleka guest sio kwamba amekudharau
Mwanaume ana mbinu nyingi za kusoma akili ya mwanamke wake, tena sometimes mwanaume anaweza akakupeleka gesti makusudi ili aone utaropoka au la, na ukiropoka tu baaaaasi . . . . atajua wewe hujafuata mapenzi kwake, bali una mengine
 
Hehehe..kama hivyo ndivyo unavyoishi basi nipeleke huko huko!

Sasa si itabidi nikupeleke gesti . . . maana hatuwezi kwenda kwa rafiki yangu na kutumia kitanda chake, wala hatuwezi kwenda stendi ya basi
 
Kumbe ehh...sawa na jibu langu kwenye swali lako la 'kwani wanawake hawana say'

Wasio na say wana matatizo.....mi hujanilaza utakako....hata kama kiroho roho umenidharau poa tu....nikugharimu kidogo kwa kwenda kulala nami sehemu nzuri.....mwanamke unapelekwa guest watu wanatumia ndoo kuoga na maji unachota nje???hiyo ndoo wametumia wangapi???
If someone can not afford a safe and sound place for us to make love ale kona......:laugh::laugh::laugh:kama nampenda sana na nina hamu ya hiyo kitu nitampeleka kwangu lakini si guest.....agrrrrrrrrr
 
VoR mawazo ya labda hunipendi sana yanaweza kunikimbiza bila kujua sivyo...wakati kujua hali yako kunaweza kusinitishe hata kidogo..na hicho sio kipimo kizuri cha kujua nnachotaka kwako kweli?Mi nadhani ndivyo..kama nimekupenda wewe..godora unalolalia naweza kujiweka hata kwa kujiegesha!Alafu choo cha kuchangia kitu gani bwana...siunasimama tu mlangoni kuhakikisha mtu mwingine haingii!
 
hivi kweli you will rather go to a shared house ukimaliza shughuli ukaoge kwenye choo cha pamoja kuliko kwenda guest house ukajihifadhi walau kidogo?

(unless unambie ukimaliza shughuli unakurupuka hivyo hivyo no kuoga πŸ˜€ )
 
Kukusoma kila siku kwani umeandikwa kwa kiLatin?
 
Vipimo vingine ni vya kijinga??mapenzi hayapimwi hivyo labda na wasio na ujuzi wa kupima akupendaye na asiyekupenda.....:laugh::laugh:
Sometimes you are defined as bn cheap,na mwanamume anayefanya vipimo vya namna hiyo hajakua vizuri:sick:
 
Sasa si itabidi nikupeleke gesti . . . maana hatuwezi kwenda kwa rafiki yangu na kutumia kitanda chake, wala hatuwezi kwenda stendi ya basi
Kama najua sababu ntaridhika!
 
hivi kweli you will rather go to a shared house ukimaliza shughuli ukaoge kwenye choo cha pamoja kuliko kwenda guest house ukajihifadhi walau kidogo?

(unless unambie ukimaliza shughuli unakurupuka hivyo hivyo no kuoga πŸ˜€ )
Na huyo anaeishi kwenye nyumba ya aina hiyo na pesa ya gesti kila siku hana na mimi naishi hivyo hivyo kwahiyo kwangu hakuna unafuu?Since hayo ndo maisha halisi kwa wengi wao hawastahili?
 
hivi kweli you will rather go to a shared house ukimaliza shughuli ukaoge kwenye choo cha pamoja kuliko kwenda guest house ukajihifadhi walau kidogo?

(unless unambie ukimaliza shughuli unakurupuka hivyo hivyo no kuoga πŸ˜€ )

Good question mwalimu.....personally i do not see myself nikivua chupi bila kujua nikimaliza nitaoga wapi?i have to be comfortable with the place to even go spend time there......sijui wengine,ila guest house nyingine hazina tofauti na hiyo nyumba ya kupanga....nyingine zinajaa,hakuna usafi,twenty four hours watu wanapishana.....which is better,kujihifadhi au kuwa salama??kama uliweza kwenda hapo kwa ajili ya hilo tendo ukijua kuna watu iweje uone shida kwenda kuoga??
 
Vipimo vingine ni vya kijinga??mapenzi hayapimwi hivyo labda na wasio na ujuzi wa kupima akupendaye na asiyekupenda.....:laugh::laugh:
Sometimes you are defined as bn cheap,na mwanamume anayefanya vipimo vya namna hiyo hajakua vizuri:sick:

Kipimo kizuri ni kumuonyesha mtu maisha yako halisi especially kama sio mazuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…