Pamoja Michelle.. hatuhitaji kupiga makelele kila mtu asikie. Jana ilistahili tushinde basi tuu hawa vijana walitukomalia.
Wewe huna, Lizzy anayo.
Mpaka umwite mtu mpenzi wako bado hujamuamini tu?Hupaswi kusema kila kitu chako halisi kwa mpenzi wako ambaye bado upo nae ktk misingi ya kutambuana, huo ni udhaifu mkubwa sana
na utakuwa umejirahisisha sana kwa mwezi wako mapema mnoooo
Wapo,yeye ili mradi apate sehemu ya kutoa nani yake na kumaliza shida zake hajali cha usalama wala nini....usalama ni wetu ila mihemko na tamaa huondoa reasoning ya mtu kwa hiyo yeye focus yake ni kwa tendo na si tendo lafanyika kwa mazingira gani.....
He he umenikumbusha nilishawahi kusikia msemo eti "Umeadimika kama ma**ko ya nyoka"!. Jamaa aliniacha mbavu sina he he!.hii sredi kila ikiendelea ndio nazidi kujifunza kwamba kuwarizisha wadada lazima kuwe na mshiko mfukoni. kamanda kimey umeongea suala la mbolea sana. mdada ukimpeleka faifu star hotel hakatai na atajifanya " honey lakini mwenzio nimekumiss kama tairi za meli ujue" wizi mtupu.
hakyanani Mungu atatulipia
No probably am not the one ambaye ninainitiate tukutane wewe ndio unataka sasa I have two options nikupeleke kwangu ambapo sio comfortable and I would not like to remember our first night in such a place..., au nikakope pesa kwa mshikaji wangu angalau nipate sehemu yenye privacy, godoro na kuta nne na hakuna uwezekano wa majirani kutusikia...? which is better.
Well kuniambia mshahara wako au kibenz chako ulinunua sh. ngapi nayo sio guarantee kwamba utanipata!Ila kuonyesha upo juu zaidi ya ulivyo inaweza kua ticket ya mtu kukuacha!Kwa hiyo kama unakaa kwenye chumba cha buku 20 a mon na kunipeleka gesti ya buku 5-10 mara 2 kwa wiki ni kunipotoshaYaani nianze tu kukuambia maisha yangu halisi hivi hivi tu . . . . . tena zama hizi ambazo ukimwambia kitu halisi mwanamke anaweza akaona mwanaume anajipandisha ili ampate kiurahisi
kamanda mimi leo nakugongea senks wewe na gaijin tu. yaani kwa mapwenti haya leo michelle na lizzy lazima waombe raziNa hapa hili tusitoke nje ya mada nasisitiza mimi ninachobishia ni kwamba :-
Mwanaume anapokupeleka Guest Sio Lazima kwamba hakupendi au amekudharau, Probably kuna sababu nyingi za msingi ambazo motive yake ni Mapenzi kwako.....
Na hapa hili tusitoke nje ya mada nasisitiza mimi ninachobishia ni kwamba :-
Mwanaume anapokupeleka Guest Sio Lazima kwamba hakupendi au amekudharau, Probably kuna sababu nyingi za msingi ambazo motive yake ni Mapenzi kwako.....
Tatizo ni kwamba hamna guarantee!Unaweza kuniandaa sana,tena ukatumia sh. nyingi kweli kwangu alafu mwisho nikakukimbia!Mi naona bora ushindwe mchezo bila kutumia nguvu nyingi na pesa kuliko kuwekeza muda na pesa na bado ukashindwa!
Mpaka umwite mtu mpenzi wako bado hujamuamini tu?
Kuna wanaofanya kuridhisha nafsi za wanaume zao au kutafuta kukubalika kwa kuonekana wanaweza lala popote na kuhimili maisha yeyote..
hapo red nasisitiza , "kila ukiona humuelewi mwanamke ujue ndio unamuelewa" , mwisho wa kunukuu. tuendeleeni na mjadalaHili ndio ambalo wadada zetu hapa hawataki kukubali, wao wanamtazamo wao wa kusoma akili za mwanaume ambazo sometimes they are wrong, and even if told they dont accept
Wanasema hata kama una sababu za msingi basi zitaonekana za kijinga
Michelle hebu tupe muongozo wa huo usalama unaouzungumzia, maana ni nadharia pana.
Mwengine anaweza kufikiri usalama ni kwenye mambo ya afya (nilivyodhani mimi) na mwengine akafikiri kwenye mambo ya security n.k
Kama zipi?Na hapa hili tusitoke nje ya mada nasisitiza mimi ninachobishia ni kwamba :-
Mwanaume anapokupeleka Guest Sio Lazima kwamba hakupendi au amekudharau, Probably kuna sababu nyingi za msingi ambazo motive yake ni Mapenzi kwako.....