Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Pamoja Michelle.. hatuhitaji kupiga makelele kila mtu asikie. Jana ilistahili tushinde basi tuu hawa vijana walitukomalia.
Ila tutapambana hadi kieleweke.....huu mwaka yabidi tufanye kazi ya ziada....pamoja sana wangu!!!