Unauwakika ni mipila yote inapigwa chini huonagi makipa wakibutua mbele wakifanya movement za haraka?Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?
Nyie ni vichwa maji
Sheria ya Goal kick na offside ni tofauti.Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?
Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..Kiherehere Cha goalkeeper kilimpa Advantage salaah ....haiwez kuwa offside coz goalkeeper alikuwa ametoka kwenye box lake hivo Basi alihesabika Kama mchezaji na sio goalkeeper Tena
Kama angekuwa ndan ya box lake (18") ilikuwa offside. Bianconeri
Actually game la Jana lilikuwa interesting sana kwetu sisi wafuatiliaj wa game watu wengi waliamini game ya Jana ilkuwa suluhu=sare but kukosekana kwa ✓Rashford kulifanya Liverpool kuwa na 60% ya kishinda dhidi ya man utd ....
Kama mlifuatilia game la Burnley na Leicester city the game else was tough than though .....vijana Wana mapafu aisee wanavuta upepo mkubwa wa kukimbiza ......vijana niliokuwa nmekaa nao wakawa wanaulza huku ndko atakuja kucheza MBWANA SAMATA? Jibu langu kwao lilkuwa ndio huku EPL nomanoma but ataitoa Villa mkiani hata smith anaamini hvo kwan samatta ni kiungo mfungaji mzuri. Japo kazi ipo kule EPL
BURNLEY Jana alkuwa anacheza kana kwamba wameacha gari nje ya geti na driver anawapigia horn kwamba harakisheni ntaondoka aisee
Ngoja nipreview mechi Tena aiseeTatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..
Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unateseka sana na Liverpool?
Kafuatilie mchezo mwingine.
Ushabiki ndio ulikufanya uhisi bao la Mo Salh halikuwa halali.Acha ushabiki
Ushabiki ndio ulikufanya uhisi bao la Mo Salh halikuwa halali.
Wewe una akili nyingi mkuu kuliko Ole na wachezaji wake ambao hawakulalamikia goal hilo hata kidogo.Tumia akili nani alikuwa anaongoza natch? Na goal la Salah limefungwa dakika ya ngapi?
Pamoja na mshika kibendela kuashiria kuwa ilikuwa ni off side, refarii hakupuliza filimbi kuwa ni off side. Na ndiyo maana, golikipa alipoudaka, aliupiga mbele bila kuuweka chini.Unauwakika ni mipila yote inapigwa chini huonagi makipa wakibutua mbele wakifanya movement za haraka?
Refaa alimuona kibebdera mbona alimpa ishara kuwa alimuona na alikubali kuwa ilikuwa offside nandio maana akaangali kulikuwa hakuna madhara yeyote.Pamoja na mshika kibendela kuashiria kuwa ilikuwa ni off side, refarii hakupuliza filimbi kuwa ni off side. Na ndiyo maana, golikipa alipoudaka, aliupiga mbele bila kuuweka chini.
Hivi umeshajiuliza kwanini goli la firmino wacjezaji wa man u walilalamika na goli la salah hawakulalamika?Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..
Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika refa alipuliza filimbi? Uliona ishara za refa kwa mshika kibendera?Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..
Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si kauliza jamani?Wewe unajua sheria za mpira au unasikia na kuambiwa tu na watu?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli lilikubaliwa kwa sababu kuu mbili, mosi, licha ya AR kunyanyua kibendera kuonyesha ni offside lakini Refaree hakupuliza filimbi hivyo mchezo uliendelea. Pili, Salah hakua offiside Wala hakucheza faulo. Kumbuka mpira unachezeshwa na Ref sio AR, Ref alitoa advantage kwa Liverpool.Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashambulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera
Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwekwa chini?
Niambie sheria inayoruhusu mpira wa foul kuanzishwa kwa mikono ukiachana na throw in
Bado Nasubiri akujibuHivi umeshajiuliza kwanini goli la firmino wacjezaji wa man u walilalamika na goli la salah hawakulalamika?