Kwanini goal la Salah limekubaliwa na kuna VAR

Kwanini goal la Salah limekubaliwa na kuna VAR

Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?
Sheria ya Goal kick na offside ni tofauti.
Hakuna advantage play au kusema kuna mtu haja athiri mchezo (interfering a play) akiwa offside katika sheria ya goal kick.
 
Naona unateseka sana na Liverpool?
Kafuatilie mchezo mwingine.
 
Kiherehere Cha goalkeeper kilimpa Advantage salaah ....haiwez kuwa offside coz goalkeeper alikuwa ametoka kwenye box lake hivo Basi alihesabika Kama mchezaji na sio goalkeeper Tena
Kama angekuwa ndan ya box lake (18") ilikuwa offside. Bianconeri
Actually game la Jana lilikuwa interesting sana kwetu sisi wafuatiliaj wa game watu wengi waliamini game ya Jana ilkuwa suluhu=sare but kukosekana kwa ✓Rashford kulifanya Liverpool kuwa na 60% ya kishinda dhidi ya man utd ....
Kama mlifuatilia game la Burnley na Leicester city the game else was tough than though .....vijana Wana mapafu aisee wanavuta upepo mkubwa wa kukimbiza ......vijana niliokuwa nmekaa nao wakawa wanaulza huku ndko atakuja kucheza MBWANA SAMATA? Jibu langu kwao lilkuwa ndio huku EPL nomanoma but ataitoa Villa mkiani hata smith anaamini hvo kwan samatta ni kiungo mfungaji mzuri. Japo kazi ipo kule EPL
BURNLEY Jana alkuwa anacheza kana kwamba wameacha gari nje ya geti na driver anawapigia horn kwamba harakisheni ntaondoka aisee
Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..

Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nipreview mechi Tena aisee
 
Tumia akili nani alikuwa anaongoza natch? Na goal la Salah limefungwa dakika ya ngapi?
Wewe una akili nyingi mkuu kuliko Ole na wachezaji wake ambao hawakulalamikia goal hilo hata kidogo.
Wewe akili nyingi kuliko waamuzi wa ile match na watu waliokuwa chumba cha VAR, nani anajua mpira au ana akili kuliko wewe?
Jibu: Hakuna.
 
Pamoja na mshika kibendela kuashiria kuwa ilikuwa ni off side, refarii hakupuliza filimbi kuwa ni off side. Na ndiyo maana, golikipa alipoudaka, aliupiga mbele bila kuuweka chini.
Refaa alimuona kibebdera mbona alimpa ishara kuwa alimuona na alikubali kuwa ilikuwa offside nandio maana akaangali kulikuwa hakuna madhara yeyote.

Man Utd wenyewe hawa complain kuhusu hili swala wamekubali ulikuwa ni uzembe wa beki.
 
Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..

Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeshajiuliza kwanini goli la firmino wacjezaji wa man u walilalamika na goli la salah hawakulalamika?
 
U
Tatizo hujaelewa jamaa anachokielieleza..

Tatizo lilianzia hapa.. Man alipiga kona na mata alikuwa offside na kibendera alionyesha offside so kipa wa Liverpool alitakiwa kuweka mpira chini ili apige badala yake alipiga bila kuweka chini ndo kosa lipo hapo. Salah hakuwa offside

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika refa alipuliza filimbi? Uliona ishara za refa kwa mshika kibendera?
 
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashambulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera

Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwekwa chini?
Goli lilikubaliwa kwa sababu kuu mbili, mosi, licha ya AR kunyanyua kibendera kuonyesha ni offside lakini Refaree hakupuliza filimbi hivyo mchezo uliendelea. Pili, Salah hakua offiside Wala hakucheza faulo. Kumbuka mpira unachezeshwa na Ref sio AR, Ref alitoa advantage kwa Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom