Kwanini goalkeeper wa yanga kabla yakuanza mpira hufanya tendo hili?

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Wale magwiji na wachambuzi wa elimu ya masuala ya ufundi dimbani,naomba mnijuze juu ya suala hili ambalo goal keeper wa yanga huenda kwenye nguzo za goli hushika na kuchezesha miguu pamoja na kuyageuzia makalio,kitendo hicho humaanisha nini?
Karibuni wanajangwani nyuma mwiko mbele daima
 
huu ujinga wa kiafrika tunao uita utamaduni/mambo ya benchi la ufundi sijui yataisha lini
 
Ongeza ktk andiko lako ni golikipa yupi au makipa wote wa matopeni? Hiyo ni kawaida hata chura anatabia hizo, wewe mchunguze tu...
 
Wale magwiji na wachambuzi wa elimu ya masuala ya ufundi dimbani,naomba mnijuze juu ya suala hili ambalo goal keeper wa yanga huenda kwenye nguzo za goli hushika na kuchezesha miguu pamoja na kuyageuzia makalio,kitendo hicho humaanisha nini?
Karibuni wanajangwani nyuma mwiko mbele daima
Unafaham kitu kinachoitwa "psychology"?
 
Back
Top Bottom