woteYanga ina makipa3,jee wewe unamuongelea yupi?
HahahahahahaaaaNdiyo alivyoagizwa kufanga na Mzee Akilimali.
Kuchezesha miguu pamoja na kuyageuzia makalio, kitendo hicho humaanisha nini?
Unafaham kitu kinachoitwa "psychology"?Wale magwiji na wachambuzi wa elimu ya masuala ya ufundi dimbani,naomba mnijuze juu ya suala hili ambalo goal keeper wa yanga huenda kwenye nguzo za goli hushika na kuchezesha miguu pamoja na kuyageuzia makalio,kitendo hicho humaanisha nini?
Karibuni wanajangwani nyuma mwiko mbele daima
Psychology "labda akina pavlov,erickson,bandura" hao ndio wanajua zaidi kuliko mimiUnafaham kitu kinachoitwa "psychology"?