chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua.
Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo niliyopata kwa sababu ndio kuitwa (GPU) graphics processing unit.
Uwezo GPU ukiwa mkubwa na ndiyo urahisi wa kompyuta yako kufanya kazi vizuri kwa sababu mifumo mingi inategemea hiyo kama app, video, 3d, animation na alogarithm za kompyuta.
Kama graphic card itakuwa ya kawaida basi vitu vingi vitashindwa kufanya kazi.
Swala la graphic card kuuzwa bei ni siri hiyo ndio maana hata vifaa vya michezo kuwa bei sana kama playstation kwa sababu ya graphic card yake inavyoweza kufanya kazi haraka.
Graphic card ina uwezo kufanya blute force ya kuchambua au kuchakata utendaji wa program nyingi.
Unaweza kununua kompyuta ya kawaida na ukafunga graphic card kubwa.
Graphic card ambazo kwa sasa kampuni kubwa ni Nvidia.
Nimeamua kununua graphic card external.