Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ww huwa unanichekesha sana, na ww leta muongozoMleta mada fuata miongozo...
Ni kitu ambacho kinakuwa embedded kwenye Circuit so ni ngumu kufanya replacementThanks...Sasa hiyo GPU unaweza kuifanyia replacement kwenye PC ,kama iliyopo hafifu
Vipi kwa desktop haiwezekani ?Ni kitu ambacho kinakuwa embedded kwenye Circuit so ni ngumu kufanya replacement
Aisee niliona lens milion 7 juziPia usisahau kuwa lens ya kamera inaunzwa bei mkasi ukilinganisha na body ya camera.
Bro Bei gan hiyo housing ya kuweka external GPU..Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua.
Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo niliyopata kwa sababu ndio kuitwa (GPU) graphics processing unit.
Uwezo GPU ukiwa mkubwa na ndiyo urahisi wa kompyuta yako kufanya kazi vizuri kwa sababu mifumo mingi inategemea hiyo kama app, video, 3d, animation na alogarithm za kompyuta.
Kama graphic card itakuwa ya kawaida basi vitu vingi vitashindwa kufanya kazi.
Swala la graphic card kuuzwa bei ni siri hiyo ndio maana hata vifaa vya michezo kuwa bei sana kama playstation kwa sababu ya graphic card yake inavyoweza kufanya kazi haraka.
Graphic card ina uwezo kufanya blute force ya kuchambua au kuchakata utendaji wa program nyingi.
Unaweza kununua kompyuta ya kawaida na ukafunga graphic card kubwa.
Graphic card ambazo kwa sasa kampuni kubwa ni Nvidia.
Nimeamua kununua graphic card external.
View attachment 2111167
View attachment 2111168
Kuna hii Lens Digsuper 90 wanayotumia AzamTV....Aisee niliona lens milion 7 juzi
Kuna vitu vingine mtu wa kawaida hawezi kuvielewa. Sasa hapa imagine limezungumzwa shamba maji ya mto computer bitcoin nk sasa dah.Sure niliona jamaa huko marekan wakianzisha startup ya kumine bitcoin wametengeneza minning farm kwenye mto umeme wanazalisha wenyewe kwa kutumia mto na wanachukua maji yanaingia kwenye farm kwa ajili ya upozaji wa machine
Kama GPU huijui rudi shule [emoji23]!!!
Graphics Processing Unit inafanya kazi ya kukupa clarity ya kila unachokiona kwenye screen. Iwe picha iwe, iwe movie na programs zote ambazo zinatumia mchanganyiko wa rangi ku display kwenye P.C yako kama Games n.k.
GPU ikiwa hafifu means kuna game za kisasa hutaweza cheza, kama kuna program za ku editia movie kama adobe after effects hazitafanya kazi kwa wepesi.