Kwanini graphic card zina bei sana kuliko kompyuta?

Bro Bei gan hiyo housing ya kuweka external GPU..
 
KKu
Sure niliona jamaa huko marekan wakianzisha startup ya kumine bitcoin wametengeneza minning farm kwenye mto umeme wanazalisha wenyewe kwa kutumia mto na wanachukua maji yanaingia kwenye farm kwa ajili ya upozaji wa machine
Kuna vitu vingine mtu wa kawaida hawezi kuvielewa. Sasa hapa imagine limezungumzwa shamba maji ya mto computer bitcoin nk sasa dah.
 

unataka kuanimbia wana degree wote wa tanzania wanajua GPU, inawezakwna hata 90% ya wasomi hawajuwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…