Kwanini GSM wana element za kuwatenga wakina Dr.Msola na Mwakalebela

Wewe korokoro fc tokea lini ukasikitishwa na mambo yanayoihusu yanga, aya ni maajabu ya dunia kabisa,,,nyie mbona atumuoni mangungu akiwa kwenye kila tukio la babra na mo? Alafu wewe unahoji Kama nani kwamfano ndani ya yanga ebu tujuze! Mnashindwa ya kwenu timu mmekabidhi kwa mhindi anajipigia bingo unarukia ya jirani yako tena ambayo ayana maana walla msingi, ficha ujinga wako saa nyingine usiwe Kama tahaira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…