NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wamemtamburisha leo kama mkurugenzi wa ufundi soka la vijana eti.Zahera ana majukumu gani ss hivi Utopoloni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemtamburisha leo kama mkurugenzi wa ufundi soka la vijana eti.Zahera ana majukumu gani ss hivi Utopoloni?
Unapenda umaarufu wa kijingaacha kutafuta umaarufu kupitia mimi
Wewe korokoro fc tokea lini ukasikitishwa na mambo yanayoihusu yanga, aya ni maajabu ya dunia kabisa,,,nyie mbona atumuoni mangungu akiwa kwenye kila tukio la babra na mo? Alafu wewe unahoji Kama nani kwamfano ndani ya yanga ebu tujuze! Mnashindwa ya kwenu timu mmekabidhi kwa mhindi anajipigia bingo unarukia ya jirani yako tena ambayo ayana maana walla msingi, ficha ujinga wako saa nyingine usiwe Kama tahairaKuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga.
Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga.
Pamoja na viongozi hao wa Yanga Dr.Msola na wengine kuunda kamati ya mashindano siku za hivi karibuni inayojumuisha watu wenye pesa na uwezo wa kukabiliana na figisu hujuma dhidi ya Yanga wakiwemo Abdallah Bin Kleb,Seif Magari na Davis Mosha lakini bado naona gsm anakaba mpaka penati.
Kumbuka gsm ni mdhamini tu,Yanga kama club inauongozi wa kikatiba wa club.
Nawasilisha.
View attachment 1950903