Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Pale Real Madrid kulikuwa na mtoto wa nyumbani. Wachezaji walisajiliwa wakamkuta Guti wakamaliza wakaondoka wakamuacha Guti.
Huyu alikuwa zao la academy ya Madrid, aliipenda Madrid kuliko kitu kingine. Katika ubora wake alikuwa ni namba 10 pengine asiyeimbwa na wengi. Guti alikuwa anafunga lakini Guti anatoa assist maridhawa. Alipenda sana kutoa assist kuliko kufunga kwa mujibu wake.
Hata akina Ozil wamechota na kujifunza mengi kwa Guti. Lakini nje ya Madrid hakuwa anapewa maua yake licha ya umahiri wake. Au pengine ni majeraha yaliyokuwa yanamuandama? Au pengine Umadridista ulimzidi? Au alifunikwa na ustar wa wachezaji wengine?
Mnaomkumbuka Guti njooni mtupe mawili matatu