Kwanini gypsum inapasuka?

Kwanini gypsum inapasuka?

makkyson

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
26
Reaction score
22
Wadau naomba kuuliza kuhusu gypsum kwanini inapasuka na haijachukua muda tangia imewekwa?
 
Hiyo nyumba ujaweka ventilation ya kutolea hewa joto kali linapelekea hivyo
 
Nyumbani ilikaa miaka 10 ndo ikaanza kutoka nyufa Tena sio za kutisha za kawaida tu .ukiangalia kwa juu Kuna matunda haiko sealed Kuna matundu ya hewa sema uzuri Pale home hamna panya wangekuwa wanapanda kwa juu
 
Yawezekana haikufikia ubora wakati ilipotengenezwa kiwandani, sidhani kama ni kawaida,au ilipasuka wakati mafundi wanaiweka lakini wakaficha kimtindo kwa kuchapia...
 
Wadau naomba kuuliza kuhusu gypsum kwanini inapasuka na haijachukua muda tangia imewekwa?
Inapasuka maeneo gani? Kama inapasukia kwenye maungio ya board na board, basi fibre tape haikutumika kwenye hayo maungio
 
Kwa ufupi hakuna matundu ya kutosha kuondoa hewa joto.
 
Back
Top Bottom