Nyumbani ilikaa miaka 10 ndo ikaanza kutoka nyufa Tena sio za kutisha za kawaida tu .ukiangalia kwa juu Kuna matunda haiko sealed Kuna matundu ya hewa sema uzuri Pale home hamna panya wangekuwa wanapanda kwa juu
Yawezekana haikufikia ubora wakati ilipotengenezwa kiwandani, sidhani kama ni kawaida,au ilipasuka wakati mafundi wanaiweka lakini wakaficha kimtindo kwa kuchapia...