Kwanini hadi sasa hakuna kauli kutoka CCM ya kukemea mauaji ya mamia ya wananchi siku ya maandamano?

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
hiki ndicho chama kinacho jiita kinajali wananchi wake kweli?

Mmeua mamia kwa maelfu lakini hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliye toa pole au hata tamko au aliye lifariji taifa wala hata kuongelea hivyo vifo

Sasa unajiuliza je? CCM hii ndiyo inayo jinadi kuwa na wananchi? Au wao wananchi wao ni wananchi gani gani na wawapi?

Au wanaamini walio waua wote ni CHADEMA hivyo wana enjoy kuua mahasimu wao? Na je?kama ndivyo wamejiridhishaje kwamba wale wote ni wafuasi wa CHADEMA na hakukuwa na wananchi wasio na itikadi ila wamechoshwa, au hakukuwa na wana CCM ambao nao wamechoshwa na utekaji holela ? Au hata kama ni CHADEMA tuamini hivyo labda, je? hawana haja ya kuonwa kwamba nao ni watanganyika wenzetu? Je na kama kweli wanacho amini wao kuwa ni wanachadema je?ni kweli CHADEMA sio wananchi wa tanganyika? Hivyo hawapaswi kujaliwa kwa namna yeyote ile na serikali yao? Au wale si raia halali wa tanganyika.?

Unajiuliza maswali mengi sana kuhusu ukimya huu wa CCM kwenye hili jambo unashindwa kabisa kuona kuwa hiki ni chama kinacho hitaji nguvu ya wananchi wake ili kiishi au kimejitosheleza kwa silaha ,fedha na vyombo vya dola?
 
CCM=Samia
 
Wanaamini waliouawa ni wasomari, wakenya, wazambia, k.k
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kujifanya hilo tatizo halipo wanachokifanya wanaongeza ukubwa wa tatizo tu na ni hatari sana
 
hiki ndicho chama kinacho jiita kinajali wananchi wake kweli?

Mmeua mamia kwa maelfu lakini hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliye toa pole au hata tamko au aliye lifariji taifa wala hata kuongelea hivyo vifo

Sasa unajiuliza je? CCM hii ndiyo inayo jinadi kuwa na wananchi? Au wao wananchi wao ni wananchi gani gani na wawapi?

Au wanaamini walio waua wote ni CHADEMA hivyo wana enjoy kuua mahasimu wao? Na je?kama ndivyo wamejiridhishaje kwamba wale wote ni wafuasi wa CHADEMA na hakukuwa na wananchi wasio na itikadi ila wamechoshwa, au hakukuwa na wana CCM ambao nao wamechoshwa na utekaji holela ? Au hata kama ni CHADEMA tuamini hivyo labda, je? hawana haja ya kuonwa kwamba nao ni watanganyika wenzetu? Je na kama kweli wanacho amini wao kuwa ni wanachadema je?ni kweli CHADEMA sio wananchi wa tanganyika? Hivyo hawapaswi kujaliwa kwa namna yeyote ile na serikali yao? Au wale si raia halali wa tanganyika.?

Unajiuliza maswali mengi sana kuhusu ukimya huu wa CCM kwenye hili jambo unashindwa kabisa kuona kuwa hiki ni chama kinacho hitaji nguvu ya wananchi wake ili kiishi au kimejitosheleza kwa silaha ,fedha na vyombo vya dola?
Hawawezi kutoa tamko sababu wao ndio wauwaji.
 
Inashangaza kwa kweli. Rais aliposema 'haikushangaza kuona vijana waliofanya vurugu walitokea nchi jirani' basi CCM wote hawawezi kuwa against na Mwenyekiti wao, kila mtu anaogopa. Na isitoshe kipindi hiki ambapo wana CCM wanasubiri teuzi za nafasi mbalimbali usitegemee kauli yoyote kutoka kwao, maana wakisema tu watakosa uwaziri, ubunge wakuteuliwa, ukuu wa Wilaya/Mkoa n.k. ni kama yaliyomkuta ndugu Mpina baada ya Mwenyekiti kumkataa kutokana na hoja zake.​
 
Back
Top Bottom