Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Hii inafikirisha kidogo jamani. Vatican ina mabalozi nchi zote lakini haijiiti nchi ya Vitican bali mji wa Vatican.

This brings much confussions. Au mnasemaje nyie?

Na cha ajabu haiko hata kwenye nchi za umoja wa Ulaya yaani EU. This still brings antagonistc behaviour
 
Labda ni nomenclature tu, Sawa na Democratic Republic of Congo kwa nini tusiseme Congo AU Labda ilianza kama city baadae ikawa nchi kama Cape Town ikipanda daraja ikawa nchi.
 
kwa maelezo yako ni sahihi kusema RC ni Kanisa la Kimkakati?
 
Eneo linalozunguka kanisa kuu la Katoliki la Roma ni dogo kuweza kuitwa nchi.

Kanisa kuu na majengo yanayolizunguka na kuzungushiwa ukuta ndio eneo lililopewa heshima na hadhi ya kuitwa Jiji la Vatcan ndani ya Jiji kuu la Roma.
 
Kuna Kitu wana sheria chuoni wanasoma kwenye International Law kina itwa HOLY SEA kama sijakosea kitafte usome kitakusaidia sana
 
Daaah aise we jamaa musukuma kabsaa, unapigilia

"Mamulaka"sema"mamlaka"
 
Kuna Mexico na Mexico City Vatican City ni mji wa kidini sana siasa haziruhusiwi kabisa na kingine mkuu wanaoishi Vatican City wengi ni watu warumi kuhusu kuwepo kwa balozi za nchi zingine ni suala la kutafuta suluhu ya haraka au kama nchi ambayo inaubalozi wake Vatican City ikikubwa na ghasia ni rahisi mno kupata kukemewa na mapapa
 
Strategic city/country. Kuna mengi sana yamejificha..
 
Mkuu nakubali

Pole Kwa kua bunned

Aiseee JF ngumu hii
 
Upo sahihi
 
Kwa mujibu wa bwana mmoja anaitwa cosmas kanyerere anadai Vatican ni mahali ambapo shetani amepachagua kukaa.ingieni YouTube usikie vituko vya Vatican.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…