Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

Kiingereza kigumu sana. Nashauri tutumie lugha yetu.

BTW... ulishawahi kujiuliza kwanini hii bank inaitwa CRDB bank? Maana katika CRDB hiyo 'B' waweza sema tayari imeshawakilisha neno Bank....
 
Kiingereza kigumu sana. Nashauri tutumie lugha yetu.

BTW... ulishawahi kujiuliza kwanini hii bank inaitwa CRDB bank? Maana katika CRDB hiyo 'B' waweza sema tayari imeshawakilisha neno Bank....
"Thi is brings"[emoji23][emoji16]
 
English ugoko [emoji23]
 
Papa alichukuliwa na nan mateka na kuuawa
 
Usidanganywe na hilo jina,hiyo ni nchi yenye mamlaka kamili (sovereign state) japo haina magereza na mahakama.
Mahakama inazo na majaji kabisa wanao na sheria wanazo na magereza wanayo ila ni ya kuwafunga mapadri,masisita na maaskofu tu wakikosea waweza fungwa ndani ya majumba yao hatoki humo hadi miaka ya jela iishe aweza fungwa nchini au nje ya nchi kwenye monastery zao
 
Kiingereza kigumu sana. Nashauri tutumie lugha yetu.

BTW... ulishawahi kujiuliza kwanini hii bank inaitwa CRDB bank? Maana katika CRDB hiyo 'B' waweza sema tayari imeshawakilisha neno Bank....
Hiyo ni typing error tu mkuu. Mi nko vizur sana. Badala ya kuandika this brings ikajiandika this is brings
 
Hata maandiko matakatifu yakiiongelea vatican haikuitahi kama nchi ila mji.
.
Ufunuo wa Yohana 17:18
[18]Na yule mwanamke uliyemwona, ni mji ule mkubwa, wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.
 
Mkuu ,Majeshi ya Ufaransa yakiongozwa na Napoleon mwaka 1796 yaliuangusha upapa na mwaka 1798 yalimua Papa .




Nenda gugo hukoo mambo yameandikwa.
Don't trust much in Google because even you or me we can write and put anything without moderation.
 
Nasikitika kusema mpaka sasa sijaona jibu la swali la mtoa mada naona bragging nyingi tu na mipasho


Eti ndio great thinker

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikujibu mimi si muhaya bwana......Ili sehemu iweze kuwa nchi kwa maana ya dola (state) lazima ikidhi vigezo vilivyotanabaishwa na mkataba wa Montevideo wa mwaka 1933.Vigezo ambavyo Vatican imevikizi

1.Idadi ya kudumu ya watu(permanent population) Vatican ina watu 800+

2.Mipaka inayoeleweka ,Vatican ina Hekari 129.

3.Kutambulika na mataifa mengine kama taifa, Vatican inatambulika na ina mahusiano na mataifa mengine ndo maana ina balozi nchi mbali mbali (Nuncios) na pia japo haina kiti umoja wa mataifa(Sio member) ila UN iliamua kuipa uwezo wa kushiriki shughuli za umoja wa mataifa bili kuwa mwanachama ikitambuilika kama (Holy see).

Baada ya kusema hayo sasa nikurudishe kwenye desa kamili, kwa nini inaitwa City na sio nchi well, tunarudi nyuma kwenye mapatano ya Laterano 1929 (Lateran Treaty) ambapo bwana yule mwenye mawaa na Mfashisiti Benito Musollini aliamua kuigawa baadhi ya sehemu ya Italia(mji) kwa papa ajitawale kwa raha zake, Kwenye sheria ya kimataifa mji ukishakua na uwezo wa kujitawala wenyewe basi utaitwa City State, ni kama alivyosema jamaa yangu bwana Waterloo nami bila tashiwiti nikaamua kumzodoa sababu aliandika kama juha, ni kweli kimantiki alikua sawa ili kiuwasilishaji alipuyanga Jina hilo likaendelea kutumika hata baada ya Umoja wa mataifa kuitambua Vatican kama nchi jina la Vatican City limeendelea kutumika.

*Ikumbukwe City state ni ndogo kwa state kwa muktadha wa eneo, Mussolini aligawa hekari 109 kwa papa na ikawa CITY state ila sasa Vatican ina Hekari 129 *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…