Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,890 Reaction score 7,043 Aug 2, 2025 #41 Moisemusajiografii said: Akipewa za uso asikenue meno kwa kilio. Click to expand... Labda hadi utekaji na mauaji ya "wenzie" yarudi tena kama miaka ile na Gwajima nae arudi na kuyakemea ndipo atamwona wa maana.
Moisemusajiografii said: Akipewa za uso asikenue meno kwa kilio. Click to expand... Labda hadi utekaji na mauaji ya "wenzie" yarudi tena kama miaka ile na Gwajima nae arudi na kuyakemea ndipo atamwona wa maana.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 2, 2025 #42 Nyaka-One said: Labda hadi utekaji na mauaji ya "wenzie" yarudi tena kama miaka ile na Gwajima nae arudi na kuyakemea ndipo atamwona wa maana. Click to expand... Msahaulifu sana na uswahili umemjaa hadi kwenye kope.
Nyaka-One said: Labda hadi utekaji na mauaji ya "wenzie" yarudi tena kama miaka ile na Gwajima nae arudi na kuyakemea ndipo atamwona wa maana. Click to expand... Msahaulifu sana na uswahili umemjaa hadi kwenye kope.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,579 Reaction score 21,407 Aug 2, 2025 #43 Ila manara ana meno ya njano jamaa yule sijui hapigagi mswaki