Fafanua zaidi mkuuNadhani sababu kubwa ni uwezo wa mwanadamu kuona kwa macho zaidi kuliko hisia... Macho ya wanyama wengi yana uono hafifu usiokamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini mlango mmoja wa fahamu ukiwa haufanyi kazi kabisa/vizuri basi ubongo unaupa nafasi na uwezo kwa viungo vingine kufanya kazi zaidiNadhani sababu kubwa ni uwezo wa mwanadamu kuona kwa macho zaidi kuliko hisia... Macho ya wanyama wengi yana uono hafifu usiokamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa wanyama wanaitambua harufu ya mwanadamu, kwa kuwa nilishindwa kujigeuza kuwa kama mnyama, imekuwa ngumu kuielewa hii hadithi, naitaji ufafanuzi kama kuna tafiti ziliofanyika kulitambua hili nizifahamu, lakini pia kama ni kweli kwanini wana uwezo huo na kwanini mwanadamu hawezi tambua harufu ya wanyama wengine.
Mfano kufahamu kuwa kuna simba hapa kichakani au mtaani, ni mpaka nimwone au nisikie sauti yake, ila sijui harufu yake inanukiaje.
Jibu zuri. Binadamu ana uwezo mkubwa wa akili kupambana na mazingira yake.MNYAMA
_Simba hanaitaji kunusa ili kujua swala yupo wapi apate mlo wake hivyohivyo chui, Duma, fisi, chatu, mbwamwitu.
_Swala/nyumbu/nyati...wanahitaji kunusu simba yupo wapi aweze jihami.
BINADAMU
Binadamu, haitaji kunusa ili kuuza Azamukwaju ili ajipatie mlo ni suala la kwenda stendi nakuuza / haitaji kunusa ili kujihami ni suala la kujua tu huyu mjeda ana Ak47 inabidi niwe na despline.
Ni unajua harufu ya manukato yake sio harufu yake...Demu wangu naijua harufu yake