Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 7, 2026 #1 Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 May 7, 2026 #2 Ufisadi kwa nchi nyingi za Kiafrika ni moja ya sifa za kuwa kiongozi.