Kwanini hakuna Awareness ya kutosha kwa Ugonjwa huu wa Kiharusi (Stroke) nchini Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke )

Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani tayari nina Wagonjwa Wawili wa hili tatizo Mmoja alipata Mwaka 2004 na mwingine Mwaka 2007 na hadi leo wapo Hai wanateseka nao lakini Nimeumia tena kusikia Wazee fulani (Waliotumikia) Taifa hili nao Wakiupata na hivi Karibuni nimeshuhudia Mama Mmoja niliyepotezana nae kwa muda kumkuta nae akiuugua.

GENTAMYCINE nawapa Pole hawa Wote niliowataja hapa Kuugua huu Ugonjwa na pia nawapa Pole na Wengineo wote huko waliko huku nikiwaombea Uponyaji wa haraka kwa Mwenyezi Mungu na waweze kurejea katika Hali zao.

Kuna Mtu kanielimisha kuwa hakuna Dawa Kubwa / Tiba sahihi kwa Afya ya Mwanadamu yoyote yule kama Kufanya Mazoezi, kuacha Kula vyakula vya Mafuta na kuukataa kabisa Unene katika Maisha yako yote.

Aliponidokeza hili kwa Kiasi kikubwa GENTAMYCINE nilimshukuru kwani katika Maisha yangu yote Zoezi la Kutembea Umbali mrefu kila Siku liko kila Siku la halijawahi kusimama hivyo huenda ndiyo maana nikiwatajia Watu Umri wangu huu mkubwa nilionao sasa Wanakataa kabisa huku Wengi wakidhani nipo katika 20s au 30s wakati huko nilishavuka Kitambo tu.

Tafadhali najua hapa JamiiForums kuna Madaktari Bingwa ( Tukuka ) Wengi hivyo nawaomba leo wanipe nini hasa sababu ya huu Ugonjwa na Tiba yake ya haraka au ya taratibu ni ipi halafu na kwanini Kiharusi ( Stroke ) hushambulia Watu wazima ( hasa wenye au waliokuwa na Vipato na hata Utajiri ) ,ila kwa Choka Mbaya / Masikini ni Nadra kusikia Wamekumbwa nao.

Japo na Wao ( Choka Mbaya ) Ugonjwa wa Figo zao Kufeli unawasumbua mno kutokana na tabia zao za Kupenda kushinda Ubandani Kunywa / Kushindia Gongo huku wakiwa hawali kabisa Chakula na hawakipendi vile vile.

Naomba leo hapa tulijadili hili sana.
 
Nina mtu wangu wa karibu alipata ugonjwa wa kupooza sehemu ya uso upande wa kushoto akiwa mtoto mchanga kabisaa.

Now ana miaka 28 kasoro mwaka mmoja.
 
Ahahahhah braza aya ya mwisho umeua🤣🤣🤣
Nina Ndugu yangu nimeshamzika kwa kupenda Kunywa Gongo na kutopenda Kula na nakumbuka nilishagombana nae mno ili aiache ndiyo Kwanza akawa anaizidisha ili Kunikomoa hatimaye Kajikomoa Mwenyewe.

Mada ya Gongo na Wanywaji wake huko Ubandani nitaitafutia Siku nayo tuidadavue hapa hapa JamiiForums kwani nayo ina Umuhimu wake na inateketeza mno Nguvu Kazi ya Tanzania.
 
Nakumbuka niliwahi kumsikia doctor mmoja anasema ukipata kiharusi ni bahati nzuri kama utafariki na itakuwa ni bahati mbaya kama hautafariki.

Mwaka jana nilimpoteza baba yangu kwa huu ugonjwa
Pole sana Mkuu na Poleni Wanafamilia.
 
Nina Ndugu yangu nimeshamzika kwa kupenda Kunywa Gongo na kutopenda Kula na nakumbuka nilishagombana nae mno ili aiache ndiyo Kwanza akawa anaizidisha ili Kunikomoa hatimaye Kajikomoa Mwenyewe.

Mada ya Gongo na Wanywaji wake huko Ubandani nitaitafutia Siku nayo tuidadavue hapa hapa JamiiForums kwani nayo ina Umuhimu wake na inateketeza mno Nguvu Kazi ya Tanzania.
We jamaa, ni mtani wangu very smart upstairs, nasomaga sana nondo zako na kuzielewa sana hapa jukwaani,......we bwege unajua.........
 
Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke )

Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani tayari nina Wagonjwa Wawili wa hili tatizo Mmoja alipata Mwaka 2004 na mwingine Mwaka 2007 na hadi leo wapo Hai wanateseka nao lakini Nimeumia tena kusikia Wazee fulani (Waliotumikia) Taifa hili nao Wakiupata na hivi Karibuni nimeshuhudia Mama Mmoja niliyepotezana nae kwa muda kumkuta nae akiuugua.

GENTAMYCINE nawapa Pole hawa Wote niliowataja hapa Kuugua huu Ugonjwa na pia nawapa Pole na Wengineo wote huko waliko huku nikiwaombea Uponyaji wa haraka kwa Mwenyezi Mungu na waweze kurejea katika Hali zao.

Kuna Mtu kanielimisha kuwa hakuna Dawa Kubwa / Tiba sahihi kwa Afya ya Mwanadamu yoyote yule kama Kufanya Mazoezi, kuacha Kula vyakula vya Mafuta na kuukataa kabisa Unene katika Maisha yako yote.

Aliponidokeza hili kwa Kiasi kikubwa GENTAMYCINE nilimshukuru kwani katika Maisha yangu yote Zoezi la Kutembea Umbali mrefu kila Siku liko kila Siku la halijawahi kusimama hivyo huenda ndiyo maana nikiwatajia Watu Umri wangu huu mkubwa nilionao sasa Wanakataa kabisa huku Wengi wakidhani nipo katika 20s au 30s wakati huko nilishavuka Kitambo tu.

Tafadhali najua hapa JamiiForums kuna Madaktari Bingwa ( Tukuka ) Wengi hivyo nawaomba leo wanipe nini hasa sababu ya huu Ugonjwa na Tiba yake ya haraka au ya taratibu ni ipi halafu na kwanini Kiharusi ( Stroke ) hushambulia Watu wazima ( hasa wenye au waliokuwa na Vipato na hata Utajiri ) ,ila kwa Choka Mbaya / Masikini ni Nadra kusikia Wamekumbwa nao.

Japo na Wao ( Choka Mbaya ) Ugonjwa wa Figo zao Kufeli unawasumbua mno kutokana na tabia zao za Kupenda kushinda Ubandani Kunywa / Kushindia Gongo huku wakiwa hawali kabisa Chakula na hawakipendi vile vile.

Naomba leo hapa tulijadili hili sana.
kuna watu nawajua wanasema wanaujua huu ugonjwa ntawauliza,nije kukupa maelezo
 
Unaandika kama ww ndie dr.hongera kwa uzi mzuri mkuu.
 
Back
Top Bottom