mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Mkuu mi zikeni kijijini kwetu mikoani.Ungependelea Ukazikiwe Kijijini Kwenu Mkoani au hapa hapa Dar es Salaam Makaburi mapya na yanayovutia ya Kondo Ununio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi zikeni kijijini kwetu mikoani.Ungependelea Ukazikiwe Kijijini Kwenu Mkoani au hapa hapa Dar es Salaam Makaburi mapya na yanayovutia ya Kondo Ununio?
Asante Mkuu kwa Credits zako Kwangu.Unaandika kama ww ndie dr.hongera kwa uzi mzuri mkuu.
Asante na tuko pamoja sana tu Mkuu.Nice. Uzi mzuri
Nadhani maana yake imejikita kwenye uhalisia kwambaUfafanuzi tafadhali
Na parcent kubwa hata ukiishi utakufa ila utateseka kwa kipindi kirefu mateso makubwa..wanao recover na kurudia hali zao ni wachache na hasa wale waliopigwa maeneo ambayo sio ya ubongo...Nadhani maana yake imejikita kwenye uhalisia kwamba
Kiharusi(stroke) ni ugonjwa unaotesa sana . Fikiria mtu anaupata anakuwa wa kujisaidia kitandani na kumaliza kila kitu hapo au unakuwa wa kuhudumiwa muda wote. Hivyo ukiupata then ukafa mapema ni bahati nzuri kwa kuwa utapumzika ila ukiupata na ukaendelea kuwa hai maana yake ni bahati mbaya kwa kuwa utaendelea kuteseka
KabisaaNa parcent kubwa hata ukiishi utakufa ila utateseka kwa kipindi kirefu mateso makubwa..wanao recover na kurudia hali zao ni wachache na hasa wale waliopigwa maeneo ambayo sio ya ubongo...
Za kupunguza cholesterol zipo kama Atrovastatin na nyinginezo ila ya kuponyesha High Blood pressure sijajua.Nasikia dawa zipo za kuponyesha ugonjwa wa High blood pressure na kuondoa Colestol lakini Kuna watu hawataki kuruhusu ziingizwe na kuuzwa nchini.
Wanataka watu watumie dawa za kibiashara zisizoponyesha.
Wangehurumia watz wanawngamizwa jamani! [emoji24]
Kwani maana ya high blood pressure nini?.ukisema unatibu cholestro it means unaondoa kisababishi kimojawapo cha hyo HBP..cholestro ikizidi inasababisha mishipa ya damu kuziba hivyo kupelekea damu kupita kwa shida na kwa pressure kubwa..so ukiondoa cholestro mwilini unaondoa kwa kiasi kikubwa kupatwa au kutokea kwa HBPZa kupunguza cholesterol zipo kama Atrovastatin na nyinginezo ila ya kuponyesha High Blood pressure sijajua.
Kwasababu Mzungu/mfadhili hajaweka pesa.Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke )
Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani tayari nina Wagonjwa Wawili wa hili tatizo Mmoja alipata Mwaka 2004 na mwingine Mwaka 2007 na hadi leo wapo Hai wanateseka nao lakini Nimeumia tena kusikia Wazee fulani (Waliotumikia) Taifa hili nao Wakiupata na hivi Karibuni nimeshuhudia Mama Mmoja niliyepotezana nae kwa muda kumkuta nae akiuugua.
GENTAMYCINE nawapa Pole hawa Wote niliowataja hapa Kuugua huu Ugonjwa na pia nawapa Pole na Wengineo wote huko waliko huku nikiwaombea Uponyaji wa haraka kwa Mwenyezi Mungu na waweze kurejea katika Hali zao.
Kuna Mtu kanielimisha kuwa hakuna Dawa Kubwa / Tiba sahihi kwa Afya ya Mwanadamu yoyote yule kama Kufanya Mazoezi, kuacha Kula vyakula vya Mafuta na kuukataa kabisa Unene katika Maisha yako yote.
Aliponidokeza hili kwa Kiasi kikubwa GENTAMYCINE nilimshukuru kwani katika Maisha yangu yote Zoezi la Kutembea Umbali mrefu kila Siku liko kila Siku la halijawahi kusimama hivyo huenda ndiyo maana nikiwatajia Watu Umri wangu huu mkubwa nilionao sasa Wanakataa kabisa huku Wengi wakidhani nipo katika 20s au 30s wakati huko nilishavuka Kitambo tu.
Tafadhali najua hapa JamiiForums kuna Madaktari Bingwa ( Tukuka ) Wengi hivyo nawaomba leo wanipe nini hasa sababu ya huu Ugonjwa na Tiba yake ya haraka au ya taratibu ni ipi halafu na kwanini Kiharusi ( Stroke ) hushambulia Watu wazima ( hasa wenye au waliokuwa na Vipato na hata Utajiri ) ,ila kwa Choka Mbaya / Masikini ni Nadra kusikia Wamekumbwa nao.
Japo na Wao ( Choka Mbaya ) Ugonjwa wa Figo zao Kufeli unawasumbua mno kutokana na tabia zao za Kupenda kushinda Ubandani Kunywa / Kushindia Gongo huku wakiwa hawali kabisa Chakula na hawakipendi vile vile.
Naomba leo hapa tulijadili hili sana.
Can stroke be cured completely?Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke )