Kwanini hakuna Awareness ya kutosha kwa Ugonjwa huu wa Kiharusi (Stroke) nchini Tanzania?

Nasikia dawa zipo za kuponyesha ugonjwa wa High blood pressure na kuondoa Colestol lakini Kuna watu hawataki kuruhusu ziingizwe na kuuzwa nchini.

Wanataka watu watumie dawa za kibiashara zisizoponyesha.

Wangehurumia watz wanawngamizwa jamani! [emoji24]
 
TEST itusaidie kufuatilia mafuta ya kula. Kila mtu anatengeneza mafuta ya kula hii ni hatari Sanaa kwa afya. Tujitahidi kupunguza ulawaji wa nyama nyekundu. Madactari wa Neurology au neurologists wazunguke mikoani kuelimisha umma kuhusu ugonjwa hu.
 
Chanzo chake ni high blood pressure...sasa inategemea huo msukumo mkubwa utaathiri maeneo yapi na kuharibu mishipa ipi ya fahamu na kudisconect mawasiliano ya kwenye hiyo sehemu..
Vyanzo ni vingi ikiwemo uvutaji wa sigara
Kiwango kikubwa cha cholestrol mwilini
Magonjwa mengine kama kisukari ..nk
Tunaweza kusema ni matokeo/madhara ya mtindo wa maisha ya mwathiriwa.
 
Ufafanuzi tafadhali
Nadhani maana yake imejikita kwenye uhalisia kwamba
Kiharusi(stroke) ni ugonjwa unaotesa sana . Fikiria mtu anaupata anakuwa wa kujisaidia kitandani na kumaliza kila kitu hapo au unakuwa wa kuhudumiwa muda wote. Hivyo ukiupata then ukafa mapema ni bahati nzuri kwa kuwa utapumzika ila ukiupata na ukaendelea kuwa hai maana yake ni bahati mbaya kwa kuwa utaendelea kuteseka
 
Na parcent kubwa hata ukiishi utakufa ila utateseka kwa kipindi kirefu mateso makubwa..wanao recover na kurudia hali zao ni wachache na hasa wale waliopigwa maeneo ambayo sio ya ubongo...
 
Na parcent kubwa hata ukiishi utakufa ila utateseka kwa kipindi kirefu mateso makubwa..wanao recover na kurudia hali zao ni wachache na hasa wale waliopigwa maeneo ambayo sio ya ubongo...
Kabisaa
 
Stroke kwa lugha ya kiswahili ni sehemu ya ubongo imepiga shot kutokana na kuziba mishipa ya damu ikapelekea damu kushindwa kufika kwenye ubongo ili kuulisha kwa oxgen, madini, na vitamins.

Inaweza ikawa inafika kwa kiasi kidogo saana. Au haifiki kabisa. Afya ya kila mmoja wetu hujengwa kila siku sio wakati unaumwa ndipo uanze kula matunda, juice, mboga nk.
 
Za kupunguza cholesterol zipo kama Atrovastatin na nyinginezo ila ya kuponyesha High Blood pressure sijajua.
 
Za kupunguza cholesterol zipo kama Atrovastatin na nyinginezo ila ya kuponyesha High Blood pressure sijajua.
Kwani maana ya high blood pressure nini?.ukisema unatibu cholestro it means unaondoa kisababishi kimojawapo cha hyo HBP..cholestro ikizidi inasababisha mishipa ya damu kuziba hivyo kupelekea damu kupita kwa shida na kwa pressure kubwa..so ukiondoa cholestro mwilini unaondoa kwa kiasi kikubwa kupatwa au kutokea kwa HBP
 
Kuna msemo "Best things in life,are free"
Nani anaweza kuamini kitu kama cayenne pepper 🌶️ capscum ndio suluhisho la hili gonjwa na mengine ya husuyo moyo.
Cayenne ni dawa ya ajabu , External ni coagulative hasa Kwa majeraha ya wazi ,hugandisha dawa Kwa dakika chake na huondoa maumivu hapohapo yaani ni instant painkiller.
Internally ni blood thinner yaani kama aspirin ambayo urahisisha damu kutembea ktk sehemu mbalimbali za mwili hasa ktk ubongo na moyo hufaidika Kwa mapigo kuwa consistence .
Cayenne imetumika Duniani kama emergency medicine Kwa wagonjwa wa shinikizo na heart attack,
wagonjwa waliokuwa unconscious waliweza kuzinduka sekunde chache baada ya matone kadhaa ya capscum chini ya ulimi, hii ni njia Bora kabisa ya kusafirisha dawa kwenye mishipa ya damu bila sindano.
Mimi mfano ,siku nilibadili mtazamo wangu juu ya hizi dawa zinazoitwa za Asili bali Mimi huziita dawa Halisi ni pale nilipo katwa kidole na fence na jeraha lilikuwa kubwa na deep sana kiasi Cha kuhitaji kushonwa nyuzi kadhaa
Bahati nilikuwa na pilipili ya unga na pia tinture(dawa yoyote majani iliyo hifadhiwa ktk vodka au ram)
Damu Ili kata ndani ya dakika chake na kila mtu alishauri nikashonwe lakini baada ya kuweka dawa nyingine iitwayo Comfrey ambayo ni best Kwa kufungua vidonda,basi ndani ya wiki kadha kidole kilipona kabisa.
Pilipili ni kitu Cha lazima kuwepo nyumbani na kutumiwa Kwa wingi na wagonjwa wa moyo na stroke Kwa inauwezo wa kureverse ugonjwa na kuipa misuli ya moyo nguvu.
Wanasema you can abuse cayenne, maana hata utumie nyingi kiasi gani Haina madhara yoyote Bali kusaidia mambo mengi ktk mwili.
Siku hizi sikosi japo kikombe kimoja kila baada ya siku .
Ni boost ya energy kama unataka kuchangamka ,na si kama energy drinks au soda.
Pia Kwa wababa nadhani tunajua umuhimu wa mapigo ya moyo na mzunguko mzuri wa damu .
Kifupi na weza kuapa hii ni Dawa ya nguvu za kiume mbele yetu na hakuna anayeitumia.
Mimi ni muhuburi wa kilimo Cha madawa HALISIA na si Asilia
 
Kwasababu Mzungu/mfadhili hajaweka pesa.


Hukumsikia Makamu Rais Mpango anasema hajui kwanini wagonjwa wengi wa kansa hutokea Kanda ya Ziwa?

Hapo anategemea Mzungu atoe pesa ya tafiti.

Magonjwa yote yasiyo na mfadhili/Mzungu nchi hii hakuna anayejali

Wako busy na UKIMWI, TB, MARALIA, METHADONE, POLIO Kwasababu Mzungu anatoa pesa
 
Can stroke be cured completely?
For some, this means a full recovery. Others will have ongoing impairments, also called chronic stroke disease. Whether a full recovery is possible depends on a variety of factors, including severity of the stroke, how fast the initial treatment was provided, and the type and intensity of rehabilitation.
Kiharusi bado kimekuwa ni Maradhi Makubwa yasiyoweza kutibika Mahospitali hawana dawa maalum ya kuweza kutibu hayo maradhi lakini kwa dawa zetu za asili mgonjwa wa kiharusi anaweza kutibiwa na kupona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…