Kwanini hakuna Kenyan high ranking official aliyemtembelea Tundu Lissu?

Tundu Lissu amepata quality time ya kutibiwa na kupumzika hapa Nairobi. Hilo ndo jambo la muhimu. Mlitaka tuanze kumfata na camera huko hospitalini? Hiyo si kawaida ya wakenya. Wanaomtembelea wanafanya hivo kimya kimya. Hapo ni hospitalini bana, shida wengine wenu mmezoea kuuza sura tu.
 
Kwahiyo samia ana maslahi gani na huyu jamaa mana alikwenda kumsalimia hospital nairobi
 
I like you comment
 
Barbosa na lisu bana kama uji na mgonjwa, halali, atatulia pale lisu akishatangulia mbele ya haki
 
Ungeuliza hivi ungepata jibu.

Kwanini viongozj wa juu wa Kenya waliomtembelea Lisu hawkutangazwa na akatangazwa first lady peke yake?
 
Oya alipewa livu mubashara na nchi ya Kenya kitu ambacho kingekutoa makend.e ....acha uhuni wa kipuuzi si ulisema utakunywa sumu kama Kenya watakubali kufanya livu coverage Ki press cha Lissu?? Ngedere ww
 
Tuliogopa kulengwa na Watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…