kwanini hakuna mchezaji anayecheza katika ligi za bara la Asia, America na Afrika hajawahi kushinda Fifa balloon dor

Sema watu wa ulaya wanajipendelea sana kwann hakuna mchezaji aliyewahi kushinda hiyo tuzo anayecheza katika ligi za bara la Asia America na Afrika .
George Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILAN
 
ana maanisha c mwafrika ni awe anacheza africa
 
Tuzo yenyewe imeanzishwa Bara la Ulaya na soka la kiwango cha juu lina chezwa Ulaya Sasa akishinda mchezaji anayecheza njeya Ulaya inamaana hajakutana washindani walio Bora ambao wanapatikana Ulaya.
 
Mpira upo ulaya , vipaji vyote vikali vinakusanyikia ulaya , ....alaf iweje mchezaji Bora atoke nje ya ulaya ... Punguzeni drama za haki sawa
 
Tuzo za mchezajî bora wa hayo mabara huwa wanachukua wanaocheza ulaya halafu wewe unataka anaecheza TP Mazembe achukue Balloon dor. Jiulize kwanza kwanini tuzo za wachezaji bora wa mabara huwa wanachukua wanaotoka ligi za ulaya?
 
George Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILAN

Bahati ilikua ni yake,na ashukuru sana hakucheza na jitu la Buenos Aires, Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…