Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Sema watu wa ulaya wanajipendelea sana kwann hakuna mchezaji aliyewahi kushinda hiyo tuzo anayecheza katika ligi za bara la Asia America na Afrika .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
George Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILANSema watu wa ulaya wanajipendelea sana kwann hakuna mchezaji aliyewahi kushinda hiyo tuzo anayecheza katika ligi za bara la Asia America na Afrika .
Itakua labda lazima ucheze ulaya [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani vigezo ni vipii vya kushinda hiyo tuzo?
wewe huelewi hata matokeo yako ya kufeli hakuna aliyeshangaaGeorge Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILAN
ana maanisha c mwafrika ni awe anacheza africaGeorge Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILAN
George Opong Wear kutoka nchi ya Liberia alichukua hiyo bahati na wakati huo kulikuwa na ushindani wa kufa mtu sio kama Sasa yaani Timu nzima anategemewa mchezaji mmoja!Kwa Sasa Opong ni Rais wa nchi ya Liberia ,viva AC MILAN