Kwanini hakuna mtu anayeweza kuchunguza Antaktika kwa uhuru, wanatuficha nini?

Hawatufichi kitu ni vile tu umeshindwa kwenda kufanya utafiti... Mfano hapa unalalamikia wengine kuficha tafiti walizofanya humo wakati bila hao unaowalalamikia usingejua hata kama kuna antactica.

Kuna wakati waafrika inatakiwa tuchapwe fimbo 5 za nguvu kila siku asubuh na jioni mpaka tutakapojua kujisimamia na kufanya mambo kwa usahihi
 
Fimbo zipunguzwe hata 3 asubuhi na 3 jioni kwa muda wa miaka mitatu
 
Hawatufichi kitu ni vile tu umeshindwa kwenda kufanya utafiti... Mfano hapa unalalamikia wengine kuficha tafiti walizofanya humo wakati bila hao unaowalalamikia usingejua hata kama kuna antactica.

Kuna wakati waafrika inatakiwa tuchapwe fimbo 5 za nguvu kila siku asubuh na jioni mpaka tutakapojua kujisimamia na kufanya mambo kwa usahihi
hata wazungu wenyew hawaruhusiwi kufanya tafiti kule kuna mipaka huruhusiwi kufika
 
Hakuna ice wall yoyote, ile ni perimeter tu iliyowekwa kimkakati ili ukiingia bila kibali upotee na usirudi kabisa.
 
hata wazungu wenyew hawaruhusiwi kufanya tafiti kule kuna mipaka huruhusiwi kufika
Anaezuia ni nani ikiwa hata wazungu hawaruhusiwi?

Pia hata ikiwa ni kweli kuna marufuku, bado tunarudi palepale kwamba tunapaswa kuvunja mipaka tuliyowekewa ili kuwa huru

Toka na zana zako za kivita za mwilini na rohoni ingia kazini, atakaekuzuia mpige mchukue mateka kisha mhoji annachojua huhusu kile unachokitaka.... Tena ikiwa hasemi basi muue alafu songa mbele utaujua ukweli
 
Ukiona hivyo kuna anomaly ndio maana...Viko vitu Nafikiri tukivijua vinadhaniwa vitaharibu order Fulani wakati ndio ukweli utakao kutoa kifungoni...Kuna nchi zimejimilikisha lile bara na kuweka mazingira magumu mno ya wewe kuruhusiwa kufanya utafiti hasa wa kisayansi.... Jiongeze!
 
Hebu nielezeni hiko kidogo mlichofichuliwa. Sijui lolote kuhusu Antarctica mpaka sasa
 
Hawatufichi kitu ni vile tu umeshindwa kwenda kufanya utafiti... Mfano hapa unalalamikia wengine kuficha tafiti walizofanya humo wakati bila hao unaowalalamikia usingejua hata kama kuna antactica.

Kuna wakati waafrika inatakiwa tuchapwe fimbo 5 za nguvu kila siku asubuh na jioni mpaka tutakapojua kujisimamia na kufanya mambo kwa usahihi
Umenena vyema Sana

Embu leta lipa namba nilipie whine usindikize weekend yako

WA Africa tunalalamika kila siku
Ifike mahala tuzoee kujisimamia wenyewe
 
Kwa mawazo kama haya tunaweza kwenda kufanya utafiti kule Antactica kweli?
 
Back
Top Bottom