Siye tulikuwa na Massawe, jamaa alikuwa balaa!!!Sijawahi kusikia timu wala mchezaji mwenye jina kama Mangi, Mbowe,kweka, Mushi, Kileo,Ngowi, Kimambo wala Akyoo, labda Joseph Kaniki tu!
Sidhani kama Leodgar Tenga ni mchaga.Joseph Kaniki ni Msambaa na sio mchaga. Na Akyoo ni ukoo Wa kabila la Meru na sio wachagga.
Yupo mchezaji wa Yanga ambaye ni goal keeper anaitwa Deo Mushi 'Dida'. Na pia Rais zamani Wa TFF Mr. Leodgar Tenga ni Mchagga.
Nadhani Wachaga wengi uenda wakawa ni si wapenzi wa Moira wa miguu kulinganisha na makabila mengine,na hata timu zinazotoka mkoa Wa Kilimanjaro nyingi zitakuwa na wachezaji ambao sio wazawa wa kule.
Deogratius Munishi a.k.a Dida goalkeeper wa timu yanga na tanzania one kwa sasa.....Sijawahi kusikia timu wala mchezaji mwenye jina kama Mangi, Mbowe,kweka, Mushi, Kileo,Ngowi, Kimambo wala Akyoo, labda Joseph Kaniki tu!
wameru na wachagga hawana tofaut kivilee kimeru kinashabiana na machame wote ni sawa tu. Ni kama mndengereko mzaramo mndingo ama wamatumbi wote ni ki1 waswahiliJoseph Kaniki ni Msambaa na sio mchaga. Na Akyoo ni ukoo Wa kabila la Meru na sio wachagga.
Yupo mchezaji wa Yanga ambaye ni goal keeper anaitwa Deo Mushi 'Dida'. Na pia Rais zamani Wa TFF Mr. Leodgar Tenga ni Mchagga.
Nadhani Wachaga wengi uenda wakawa ni si wapenzi wa Moira wa miguu kulinganisha na makabila mengine,na hata timu zinazotoka mkoa Wa Kilimanjaro nyingi zitakuwa na wachezaji ambao sio wazawa wa kule.
nilickia huyu mangi hali nyama ila maini kwa sabab ya iman yake ya marastaChristopher Alex Massawe
haijalish mm mtoto wangu akilia hapa itambadilisha kabila lake? ??Leodgar Tenga ni mchaga ila kakulia Kilosa
Joseph Kaniki ni Msambaa na sio mchaga. Na Akyoo ni ukoo Wa kabila la Meru na sio wachagga.
Yupo mchezaji wa Yanga ambaye ni goal keeper anaitwa Deo Mushi 'Dida'. Na pia Rais zamani Wa TFF Mr. Leodgar Tenga ni Mchagga.
Nadhani Wachaga wengi uenda wakawa ni si wapenzi wa Moira wa miguu kulinganisha na makabila mengine,na hata timu zinazotoka mkoa Wa Kilimanjaro nyingi zitakuwa na wachezaji ambao sio wazawa wa kule.
hv na dida masabur ni kabila ganDeogratius Munishi a.k.a Dida goalkeeper wa timu yanga na tanzania one kwa sasa.....
Kumbe kila Masawe inatoka Moshi eeeti!!!! basi kama ndivyo hivyo hata huku chama la Ndanda fc kuna masawe mwingine, but sijui kama huyu nae anatoka huko huko Uchagani...Kuna mido flani matata sana ipo Stand United "chama la wana" anaitwa Jacob Massawe.