Kwanini hakuna timu ya mpira K'njaro wala wachezaji wenye majina ya huko?

Kwanini hakuna timu ya mpira K'njaro wala wachezaji wenye majina ya huko?

Kila mtu Mungu kampa la kwake, hakuna aliyekamilika kwa kila kitu na hata kujitosheleza
 
Tatizo kubwa la huko vijana wanakunywa sana mbege mda wa kucheza mpira watapata wap?
 
Hassan kessy mchaga
Danny lyanga mchaga
 
Jiulize kwann wanamuziki na wanamichezo wengi wa USA ni black Americans. Wachaga hawana interest na mpira hata chembe. Mpira unachezwa sana maeneo ya pwani katika nchi hii, ni attitude tu ya watu husika.
Na ndiyo maana timu ya taifa haifiki popote! Wala mihogo ya kukaanga na chips bure kabisa....
 
Back
Top Bottom