Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Jan 3, 2017 #41 Kila mtu Mungu kampa la kwake, hakuna aliyekamilika kwa kila kitu na hata kujitosheleza
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 3, 2017 #42 Munishi yupo. Wengine wajasiriamali.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,026 Reaction score 1,706 Jan 3, 2017 #43 Tatizo kubwa la huko vijana wanakunywa sana mbege mda wa kucheza mpira watapata wap?
Kitumbikwela Senior Member Joined Nov 5, 2016 Posts 140 Reaction score 99 Jan 4, 2017 #44 Musa Msangi, huyu aliwahi kucheza simba nafasi ya beki wa pembeni
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Jan 4, 2017 #45 Dida MUSHI
BAKOI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,211 Reaction score 2,329 Jan 4, 2017 #46 Hassan kessy mchaga Danny lyanga mchaga
Punainen JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,304 Reaction score 1,056 Jan 5, 2017 #47 mullaX said: Jiulize kwann wanamuziki na wanamichezo wengi wa USA ni black Americans. Wachaga hawana interest na mpira hata chembe. Mpira unachezwa sana maeneo ya pwani katika nchi hii, ni attitude tu ya watu husika. Click to expand... Na ndiyo maana timu ya taifa haifiki popote! Wala mihogo ya kukaanga na chips bure kabisa....
mullaX said: Jiulize kwann wanamuziki na wanamichezo wengi wa USA ni black Americans. Wachaga hawana interest na mpira hata chembe. Mpira unachezwa sana maeneo ya pwani katika nchi hii, ni attitude tu ya watu husika. Click to expand... Na ndiyo maana timu ya taifa haifiki popote! Wala mihogo ya kukaanga na chips bure kabisa....
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,280 Jan 5, 2017 #48 Eli79 said: Sidhani kama Leodgar Tenga ni mchaga. Click to expand... Ni mchaga wa ulaya