Kwanini hamkujituma hivi mlipocheza na Azam FC pamoja na watoto wa Kinondoni (KMC)?

Kwanini hamkujituma hivi mlipocheza na Azam FC pamoja na watoto wa Kinondoni (KMC)?

Jobe Fc haina tofauti na kuku mgonjwa anayepakwa pilipili matakoni ili achangamke Kisha apelekwe mnadani.

Kiukweli Jobe Fc wanawashangaza mashabiki zao, Kama wangecheza na Yanga sc, Azam na KMC Kama walivyocheza kwa morali mbele Jwaneng galaxy Fc hakika wasingepigwa goli 5 na kudroo mbele ya Azam na KMC.

Ikumbukwe kuwa Jobe Fc ilidondosha point 3 mbele ya Yanga, point 2 mbele ya Azam na pint 2 mbele ya KMC jumla point 7.
Mechi zote hizo Jobe Fc walicheza chini ya kiwango/kiwango kibovu hakuna Morali ya wachezaji kujituma na kupelekea kilio kwa mashabiki zao.

Maoni Yangu: Jobe Fc wanajituma endapo wataahidiwa bonus lakini tofauti na hapo hakuna Morali na kujituma kwa wachezaji wa Jobe Fc na ndiyo maana ndani ya ligi huwa wanadondosha point.
Jitahidi sana uhamishie haya mahaba kwa familia yako au kwa afya ya ubongo wako. Jipende, ni njia nzuri ya kuondokana na stress. Jikubali, ISHI! kila mara unaandika nyuzi hasi tu kwa simba sc. Na wengine wapo huandika hasi tu kuhusu yanga. Mmejaa matusi na lugha ambazo hazina staha. Hii ni dalili ya mapungufu katika afya ya akili. Nina imani hata hao Simba au Yanga hawakujui. Jitahidi, wewe na wengine mrejeshe hali ya kujipenda, ninyi na watu wanao wazunguka. Jitahidi pia kutafuta pesa. Hisia zote ukiweka kwenye ushabiki wa mpira,,utaishi kwenye kukataa ndoa au kutwa nzima kutafuta wauzaji wa Nkongo,,😀😀. Jumapili njema mtani. Simba Sc walifuzu robo fainali jana kwa mabao 6-0 na ilikuwa mechi ya mwisho. Yanga mechi ya mwisho alidinywa 1-0. Wote wapo robo fainali. Tafuta pesa, jipende, ishi!
 
Jitahidi sana uhamishie haya mahaba kwa familia yako au kwa afya ya ubongo wako. Jipende, ni njia nzuri ya kuondokana na stress. Jikubali, ISHI! kila mara unaandika nyuzi hasi tu kwa simba sc. Na wengine wapo huandika hasi tu kuhusu yanga. Mmejaa matusi na lugha ambazo hazina staha. Hii ni dalili ya mapungufu katika afya ya akili. Nina imani hata hao Simba au Yanga hawakujui. Jitahidi, wewe na wengine mrejeshe hali ya kujipenda, ninyi na watu wanao wazunguka. Jitahidi pia kutafuta pesa. Hisia zote ukiweka kwenye ushabiki wa mpira,,utaishi kwenye kukataa ndoa au kutwa nzima kutafuta wauzaji wa Nkongo,,[emoji3][emoji3]. Jumapili njema mtani. Simba Sc walifuzu robo fainali jana kwa mabao 6-0 na ilikuwa mechi ya mwisho. Yanga mechi ya mwisho alidinywa 1-0. Wote wapo robo fainali. Tafuta pesa, jipende, ishi!
ILI UWE SALAMA KIAKILI FUTA HII.
 
Hizi nyuzi zako toka simba imkande mtu 6 kwa sufuri zimekushusha thamani kama mwana jamii sport mwenye thread zenye akili...
 
Back
Top Bottom