Kwanini hamkujituma hivi mlipocheza na Azam FC pamoja na watoto wa Kinondoni (KMC)?

Jitahidi sana uhamishie haya mahaba kwa familia yako au kwa afya ya ubongo wako. Jipende, ni njia nzuri ya kuondokana na stress. Jikubali, ISHI! kila mara unaandika nyuzi hasi tu kwa simba sc. Na wengine wapo huandika hasi tu kuhusu yanga. Mmejaa matusi na lugha ambazo hazina staha. Hii ni dalili ya mapungufu katika afya ya akili. Nina imani hata hao Simba au Yanga hawakujui. Jitahidi, wewe na wengine mrejeshe hali ya kujipenda, ninyi na watu wanao wazunguka. Jitahidi pia kutafuta pesa. Hisia zote ukiweka kwenye ushabiki wa mpira,,utaishi kwenye kukataa ndoa au kutwa nzima kutafuta wauzaji wa Nkongo,,😀😀. Jumapili njema mtani. Simba Sc walifuzu robo fainali jana kwa mabao 6-0 na ilikuwa mechi ya mwisho. Yanga mechi ya mwisho alidinywa 1-0. Wote wapo robo fainali. Tafuta pesa, jipende, ishi!
 
ILI UWE SALAMA KIAKILI FUTA HII.
 
Hizi nyuzi zako toka simba imkande mtu 6 kwa sufuri zimekushusha thamani kama mwana jamii sport mwenye thread zenye akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…