Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti.
Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua Mwenyekiti , ukiacha ukikubali kushindwa ,utakua Falaaaaa ..
Yaan MwanaCCM ambaye anatambua hapo mbele Kuna Uchaguzi wa chama pinzani, bado anakomaa tu, Ukishindwa ,utakua falaaa sana.
Kwa Lugha nyingine wanamwambia Freeman Mbowe Kwa namna yoyote Ile lazima ushinde bila kujali ni uchaguzi au laaah!!.
Alafu wanaCHADEMA nao Muendelee kufurahia uenyekiti wa Freeman Mbowe?.