DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Muulize Bernard Morrison.Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Mbona hata ma lecturers vyuoni nawenyewe hajui kiingereza wanaongea kiswahili 70% kwa 30 wakiwa wanafundisha, huo niugonjwa mkubwa wakutojua kiingereza, na tunaanza kutetea ujinga kwa kujilinganisha na nchi kama japan, China na Russia, kwa kusahau kwamba sisi kiingereza tunaanza kufundisha darasa la kwanza.Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Kiswahili kinafelisha sanaKumbuka ambao hawajui kiingereza na wanatamba na lugha zao ni mataifa tajiri. Bidha wanazozalisha wanaandika kwa lugha yao na unabidi ujifunze hiyo ludha ili uelewe kilichoandikwa. Wewe na kiswahili chako unazalisha nini ili uwauzie wajifunze lugha yako? Kiingereza ni muhimu ndio maana ukikijua unaonekana ni msomi kumbe ni mbwembwe tu! Angalia English na French zote ni za mataifa makubwa yanayojulikana duniani, ukitaka ujulikane na usiwe na shida duniani zijue hizo lugha.
Acha uongo mzee 😂😂😂Kumbuka ambao hawajui kiingereza na wanatamba na lugha zao ni mataifa tajiri. Bidha wanazozalisha wanaandika kwa lugha yao na unabidi ujifunze hiyo ludha ili uelewe kilichoandikwa. Wewe na kiswahili chako unazalisha nini ili uwauzie wajifunze lugha yako? Kiingereza ni muhimu ndio maana ukikijua unaonekana ni msomi kumbe ni mbwembwe tu! Angalia English na French zote ni za mataifa makubwa yanayojulikana duniani, ukitaka ujulikane na usiwe na shida duniani zijue hizo lugha.
Kwa Afrika nadhani ni Somalia pekee ( sina uhakika) wasiotumia lugha ya Kigeni kufundishia watoto wao.Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Tanzania tulikosea sana kukitupa kiingereza na kutumia kiswahili. Kswahili kimefanya watu vilaza kujifanya wataalam na viongozi. Hebu fikiria kama lugha tunayotumia ingekuwa kiingereza watu kama kina Musukuma wangekuwa bungeni?English ni lugha ya hela. Kuifahamu tu vizuri tayari ni hatua muhimu kwenye mapambano dhidi ya umaskini. Hata nchi zinazozungumza kifaransa kwa sasa zinapambana kujua kiingereza. Wakongo wengi kwa sasa wanahakikisha watoto wao wanaimudu lugha ya malkia. Hata kiswahili nacho kwa huu ukanda wetu kinazidi kushika kasi. Majirani hasa wa SADC wanapambana sana kukijua.
Umeliweka vizuriKumbuka ambao hawajui kiingereza na wanatamba na lugha zao ni mataifa tajiri. Bidha wanazozalisha wanaandika kwa lugha yao na unabidi ujifunze hiyo ludha ili uelewe kilichoandikwa. Wewe na kiswahili chako unazalisha nini ili uwauzie wajifunze lugha yako? Kiingereza ni muhimu ndio maana ukikijua unaonekana ni msomi kumbe ni mbwembwe tu! Angalia English na French zote ni za mataifa makubwa yanayojulikana duniani, ukitaka ujulikane na usiwe na shida duniani zijue hizo lugha.
level of intelligent❌Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
Wazaramo wana Asili ya nchi Gani?Nchi hii tukianza kuchunguzana kuhusu makabila Atakaye bakia ni mgogo peke yake maana yeye ndo mwenye asili ya nchi hii wengine sote ni wahamiaji ndo maana nyerere aliliona hili na akafanya makao makuu kuwa dododma na kupinga vikali sana mambo ya ubaguzi wa makabila na msemo wale mkubwa ulikuwa unaulizia kabila la mtu kwani unataka kutambika na ukabila ni kama mchawi kula nyama za watu
kwasabb masomo yote ni hufundishwa kwa lugha ya kiingereza, kwa miaka yote mi3 au mi4, mathalani kwa shahada ya kwanza...Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Kwasababu wewe unaongea kiarabu broken cha kukariri.Bora tungekuwa Arab speaking country au unasemaje Mr Maghayo ?
Kasema nani hayo?Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi
Haifikirishi, wewe ndie unaetaka kulazimisha mtu afikiririe kwamba hilo nalo ni lakufikiria..
Inafikirisha Sana hili jambo.
Ni nani au wapi hapa Tanzania huwa wanapima uwezo wa akili?"🤓🙄Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
Wacha kutukana vijana. Na kupotosha umma.NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.