Kwanini Harmonize anafanya collabo na kila msanii anayekutana naye?

Kwanini Harmonize anafanya collabo na kila msanii anayekutana naye?

bosi wenu diamond ata hizi collabo anazopata konde. yeye anazitafuta kwa tochi..
ni wakati wake mmakonde kwanini alaze damu..

diamond alipewa collabo na wawa salegy. nani kabla ya hapo alikuwa anamjua wawa salegy??
 
Watu wanaweza wakaizoea sauti yako hata kwa kutoa nyimbo zako bila collabo and will still sound the same damn thing
 
Beat pamoja na Melody ziko poa ispokuanyimbo haina maudhui mazuri
 
Ile My boo remix binafsi naikubali sana...cha ajabu mleta mada hajawahi nunua kazi hata moja ya msanii yoyote yule yeye anadownaload tu kwa kutumia kifurushi cha chuo...
 
Hakikishen mnaupiga vita UMASKINI ni kitu kibaya unaweza mchukia mtu humfaham na hata hakufaham
 
Harmonize Ni jinga tu kama majinga mengine.Ila umemvunjia heahima sana Q Chillah, hao miziki yao ndio imetukuza sisi.
Yule mdwanzi aliwahi kusaidiwa na Diamond baada ya muda akamtangaza anamuibia nyota yake, aliwahi kusaidiwa na QS Muhonda akamtangaza mnyonyaji na kila ya jina baya, aliwahi kulia kwenye XXL kama mtoto wa kike bila sababu za msingi. Q chillah ni legend ila ana tabia za ajabu na hawezi kuwa na jipya kwenye muziki, Kondeboy asitegemee collabo za watu kama hawa zitamfikisha popote
 
Ile My boo remix binafsi naikubali sana...cha ajabu mleta mada hajawahi nunua kazi hata moja ya msanii yoyote yule yeye anadownaload tu kwa kutumia kifurushi cha chuo...
We ni mjinga, unaanzaje kununua wakati kazi zinawekwa kwa kina dj Mwanga free of charge?
 
[emoji23]yupo yule ndugu yake wa nigeria skales wao kila siku wanafanya collabo tu
[emoji38][emoji38][emoji38]Kabisa, Skales mwenyewe kule Naija hawamzingatii kiviile. Sahivi naona kaomba kollabo nyingine na Burnaboy alipokutana nae UK[emoji3], sema kwa Burnaboy hata wakirudia sio mbaya kwavile jamaa anahit ile mbaya kwasasa
 
We ni mjinga, unaanzaje kununua wakati kazi zinawekwa kwa kina dj Mwanga free of charge?
Mjinga ni mimi au wewe usietoa sapoti kwa kazi za sanaa? Unataka mziki mzuri hutaki kigharamia?
 
Mjinga ni mimi au wewe usietoa sapoti kwa kazi za sanaa? Unataka mziki mzuri hutaki kigharamia?
Wajinga ni wasanii wanaosambaza kazi zao kwenye blogs ili tudownload bure
 
Back
Top Bottom