Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Watanzania wengi wana msongo wa mawazo wanatafuta mtu yoyote wa kumshambulia wakiamini itawapunguzia msongo.Akishuka..akipanda ni yeye
Si ndio hapo Sasa..msongo mbaya jamaniWatanzania wengi wana msongo wa mawazo wanatafuta mtu yoyote wa kumshambulia wakiamini itawapunguzia msongo.
hata mamaakousikute ni nguruwepori mzuri tuHana plan yoyote yule nguruwe pori.... Ajiandae kwenda kulima korosho
Scale zinapishana[emoji23]yupo yule ndugu yake wa nigeria skales wao kila siku wanafanya collabo tu
TawireHarmonize anarogwa na Diamond.
wewe kadanganye wenzio kwenye makukwaa ya mpira ukoHarmonize anarogwa na Diamond.
Yule mdwanzi aliwahi kusaidiwa na Diamond baada ya muda akamtangaza anamuibia nyota yake, aliwahi kusaidiwa na QS Muhonda akamtangaza mnyonyaji na kila ya jina baya, aliwahi kulia kwenye XXL kama mtoto wa kike bila sababu za msingi. Q chillah ni legend ila ana tabia za ajabu na hawezi kuwa na jipya kwenye muziki, Kondeboy asitegemee collabo za watu kama hawa zitamfikisha popoteHarmonize Ni jinga tu kama majinga mengine.Ila umemvunjia heahima sana Q Chillah, hao miziki yao ndio imetukuza sisi.
We ni mjinga, unaanzaje kununua wakati kazi zinawekwa kwa kina dj Mwanga free of charge?Ile My boo remix binafsi naikubali sana...cha ajabu mleta mada hajawahi nunua kazi hata moja ya msanii yoyote yule yeye anadownaload tu kwa kutumia kifurushi cha chuo...
[emoji38][emoji38][emoji38]Kabisa, Skales mwenyewe kule Naija hawamzingatii kiviile. Sahivi naona kaomba kollabo nyingine na Burnaboy alipokutana nae UK[emoji3], sema kwa Burnaboy hata wakirudia sio mbaya kwavile jamaa anahit ile mbaya kwasasa[emoji23]yupo yule ndugu yake wa nigeria skales wao kila siku wanafanya collabo tu
Mjinga ni mimi au wewe usietoa sapoti kwa kazi za sanaa? Unataka mziki mzuri hutaki kigharamia?We ni mjinga, unaanzaje kununua wakati kazi zinawekwa kwa kina dj Mwanga free of charge?