Kwanini Harmonize anatumia neno "Sisi ni watoto wa maskini"?

Kwanini Harmonize anatumia neno "Sisi ni watoto wa maskini"?

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Siku hizi Harmonize anautumia sana huu msemo..

Nimemuona akisema hivi kadhaa hasa anapoitwa kwenye Interviews zake.

Jana baada ya kupita pita mtandaoni nikakutana na video moja YouTube inayohusu ile shoo yake ya CCM Dodoma, kabla hajamtambulisha msanii wake Ibrah akaliweka tena hili neno..

"Kwa kuwa sisi tunatoka kwenye familia za kimaskini na tunasaidiana wenyewe kwa wenyewe..."

Sababu ya kusema hivi ni nini?

Anataka tumuonee huruma au vipi??
 
Mtoa mada sizani kama zimetimia kichwani mwake....sasa tatizo ni nini hapo
 
Ni lugha ya CCM...kila kiongozi mtoto wa masikini kasoro Dr Mwinyi
 
Back
Top Bottom