pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Naona msisitizo ni barakoa tusisi tunafunika labda wewe tu ndiyo haufuniki.
Nyongeza,kwanini hatufuniki masikio kujizuia nakorona maana wanatuambia tusishike uso lakini masikioni tushike ata kuingiza vidole ivi ni salama kweli?
Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni.
Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA?
Nawasilisha.
Kona baa wajasiriamali Kama kawa. Means no biashara kongwe bado inatoka. Sijajua vibandani Temeke Sudani, Sokota, mwananyamala na buguruni.