Tayari kuna gari imetengezwa na itatumia maji,sasa tafteni zaidi taarifaMaji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
Injini ya mwanzo ilitumia maji kama chanzo cha mvuke lakini chanzo cha energy yalikua makaa ya maweWewe fala kweli, mliozaliwa kuanzia 1990 mna tabu !! Hujui kuwa injini ya kwanza kuundwa ni ya kutumia maji ?! Umeshasikia kuhusu injini ya mvuke au kwa kikwenu steam engine ?! Si ya maji hiyo au ?!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Jazia mkuu, ulisoma wapi? Lini? Wapi? Nani kampoteza? EtcMaji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!