RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
HaswaaaUkisikia Siasa za Mvurugano ndo hizo. Kisebusebu na kiroho papo. Maeneo wazi wanayataka lakini maslahi binafsi yanawekwa mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaUkisikia Siasa za Mvurugano ndo hizo. Kisebusebu na kiroho papo. Maeneo wazi wanayataka lakini maslahi binafsi yanawekwa mbele.
Aisee, Nyumbani ni sawa ila 1. Panachosha na kila wakati utakuwa na shughuli tofauti-tofauti za kufanya i.e. hupumziki ki-vile.Kwan kuna shida gan ukapumzikia nyumban kwako mkuu as long as ndio hapo hapo mtaani unapopazungumzia?
Hii nchi ili yote yafanyike lazima tupate RAIS mwenye uono wa mbali wa miaka 50 mbele,Rais ambae target yake ni wale watoto ambao watazaliwa kuanzia 2025 wakikua waikute Tanzania ya Namna gani.Watu wetu wa urban planning sio wanao enda na wakat na naona wengi ni conservative sanaa,
Mfano iyo dodoma inayo tajwa sasa as jiji jipya ingependeza ktk master plan yao jiji ilo lijumuishe vitu vya burudan mfano sport tourism, michezo kama racing e.g magari mfano wale wa formula 1, horse racing,
Ninacho kiona ni kizazi cha baadae kitataka ku experience michezo tofauti tofauti sio.kila siku watoto wetu wakute vichaka vya kucheza kombolela tu
To.me, nafikiri itakuwa poa sanaa tuki fikiria kutenga maeneo kama hayo then tuka ruhusu investors waka inveat ktk izo michezo kama ya rcing hakika itleta impact kubwa sanaa baadae ktk.uchumi wa taifa
Ni Kweli, Plans zilizopo zimekaa kisiasa zaidi na sio stable. Ni Vulnerable to changes at any time. Makazi nayo usiseme! ni kichefuchefu - Hakuna miundo mbinu ya uhakika, hakuna Utaratibu wa Ujenzi unaofuatwa, Hakuna Umakini wa Wasimamizi/Wataalam n.k.n.kpoor planning, na postcode ndio hizo zimeanza sijui ufanisi wake na makazi yetu jinsi yalivyo.
Dah ni kwel mkuu umenena vyema sana.Nitayafanyia kazi hayaAisee, Nyumbani ni sawa ila 1. Panachosha na kila wakati utakuwa na shughuli tofauti-tofauti za kufanya i.e. hupumziki ki-vile.
2. Huoni badiliko kwenye nafsi au kujifunza (Kuona na kusikia) kitu kipya i.e. mambo ni yale-yale e.g. kama kuna kero, basi utakuwa nayo tuuu muda wote.
3. Hupati faragha ya kutafakari mambo binafsi au na wenzio.
4. Watoto wanakuwa maduwanzi- hawachangamki na vile vimichezo vyao vya kukimbia-kimbia, kupiga kelele n.k. kwani hapo nyumbani watakemewa au wataogopa wakubwa.