YoungBlaks
New Member
- Sep 2, 2013
- 1
- 0
Habari wadau.
Naomba kuelimishwa kidogo, au tuelimishane,
Mtanzania anakatwa kodi kwenye mapato yake (mshahara) then akienda kununua vitu au kupata huduma kutumia pesa ile ambayo amekatwa kodi tayari(mshahara), pia analipia kodi ile huduma/bidhaa anayonunua, je ni sahihi?
Na inawezekana kurudishiwa kodi unayokatwa kwenye bizaa pindi upelekapo Receipts TRA?