Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwani zikiingizwa Serikalini kama Gawio haziwezi kuelekezwa huko kwenda kununua mabomu?Zinaenda kununua mabomu!. una swali jengine..?
kwani tukinunua mabomu moja kwa moja wewe unaumia wapi..?, kwanini unapenda mambo ya mzunguko kijanaKwani zikiingizwa Serikalini kama Gawio haziwezi kuelekezwa huko kwenda kununua mabomu?
Uwekezaji wao unafanywa kwa pesa zao wenyewe au pesa za wananchi? wao wanawajibika kwa nani? Kwa nini wananchi tusijue mapato ya Kampuni zao na zinapoelekezwa?kwani tukinunua mabomu moja kwa moja wewe unaumia wapi..?, kwanini unapenda mambo ya mzunguko kijana
Kwa nini tuwaache?Waacheni wanajeshi, wametulia, pambana na baba yako KARIA
Wametulia wapi, ni washirika wa siasa wa CCMWaacheni wanajeshi, wametulia, pambana na baba yako KARIA
Kwani mmeshamaliza kampeni ya No Reforms no Election?Ukienda Dodoma, miradi mingi inatekelezwa na Kampuni ya Suma JKT. Na wanafanya miradi ile kwa kulipwa mabilioni ya fedha.
Wana Kampuni ya Maji ya Uhuru ambayo inatengeneza maji na kuuza kwa kiwango kikubwa sana. Kwenye shughuli karibu zote za Serikali maji yanayogawiwa ni ya Kiwanda cha Maji cha Suma JKT.
Wana Kampuni ya Ulinzi ambayo nayo inafanya vizuri kwa kupewa tenda za ulinzi katika ofisi za Serikali na Kampuni binafsi nchi nzima.
Wana Kampuni ya Kutengeneza Taa za Solar ambayo inafanya kazi vizuri sana.
Swali ni Je Kampuni hizi za Jeshi kwa nini Hazitoi Gawio kwa Serikali? Pesa zake zinaenda wapi?
Pia Msajili wa Hazina anazisimamia lweli hizi Kampuni? Kama majibu ni ndiyo taarifa zake za mapato na Matumizi ziko wapi?
Inategemeana na sheria za uanzishwaji wake.Ukienda Dodoma, miradi mingi inatekelezwa na Kampuni ya Suma JKT. Na wanafanya miradi ile kwa kulipwa mabilioni ya fedha.
Wana Kampuni ya Maji ya Uhuru ambayo inatengeneza maji na kuuza kwa kiwango kikubwa sana. Kwenye shughuli karibu zote za Serikali maji yanayogawiwa ni ya Kiwanda cha Maji cha Suma JKT.
Wana Kampuni ya Ulinzi ambayo nayo inafanya vizuri kwa kupewa tenda za ulinzi katika ofisi za Serikali na Kampuni binafsi nchi nzima.
Wana Kampuni ya Kutengeneza Taa za Solar ambayo inafanya kazi vizuri sana.
Swali ni Je Kampuni hizi za Jeshi kwa nini Hazitoi Gawio kwa Serikali? Pesa zake zinaenda wapi?
Pia Msajili wa Hazina anazisimamia lweli hizi Kampuni? Kama majibu ni ndiyo taarifa zake za mapato na Matumizi ziko wapi?
No Reforms No Elections ndo wimbo wa Taifa sasaKwani mmeshamaliza kampeni ya No Reforms no Election?
Tulieni kwenye jambo lenu la msingi, mtapoteza!
Halafu hujamalizia post yako kwa NRNE