Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Kwa nini HATUPENDI KUONA wenzetu WAKIFANIKIWA?
Tunaishi kwenye ulimwengu wa mashindano ambapo tumefundishwa kufanya ulinganifu wa Maisha yetu na ya wengine.
Wapatapo mafanikio wnzetu kwetu huwa ni pigo Kubwa Sana, Mara nyingi huwa hatufurahii mafanikio ya WENZETU.
Mara nyingi Tunaamua kutafuta sababu za kukosoa na kukejeli. Yote haya ni matokeo ya wivu, wivu wa mafanikio uliojaa chuki usio na faida yeyote.
Na hii hutokea si kana kwamba hatuna mafanikio au kwa wenye mafanikio makubwa pekeee.
Aliyefanikiwa anamwonea wivu anayefanikiwa, Anayefanikiwa anamwonea wivu Aliyefanikiwa.
Asiye na chochote kabisa ndo mpiga domo na mchafuzi wa mafanikio ya wengine kwa lugha chafu ,kejeli na shirki .
Tunasahau kuwa mafanikio ni mchakato/process huwa hayasimami bali yanaendelea /yanasonga mbele au yanarudi nyuma.
Yatupasa tutambue na tukumbuke kuwa mafanikio ni matokeo ya kufanya kazi kwa bidii, kutenga muda wa kutosha juu ya ndoto zetu.
Badala ya kuona wivu yatupasa tujifunze kwa wengine Ili kuufikia ukuu wetu.
Tizama Maisha YAKO na ushukuru kwa vyote ulivyo navyo kwani kila mtu anao Mwanga uangazao katika Maisha yake kinachohitajika ni wewe kufungua macho YAKO uutafute Mwanga wa kuangaza katika Maisha YAKO.
#Angaza #mafanikio #Watu #Maisha YAKO
#Wivu #chuki
CREDIT MALCOM XYZ FACEBOOK