Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nini vikwazo vinazuia kusafirisha mafuta kwa treni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwe na mtandao wa mabomba toka bandarini mpaka kila mkoa???Kwani tusisafirishe kwa mabomba?
Hela za huo mtandao beberu yupi atatukopesha!?Kuwe na mtandao wa mabomba toka bandarini mpaka kila mkoa???
Halafu cha kusikitisha zaidi kila mwaka shirika la reli linapata hasara.Tunasubiria kuokota vichwa vya treni bandarini, unadhani tutaweza kununua matanki ya kusafirisha mafuta!?
Tutakaa tusubirie kuokota na matank!
Treni ni usafiri cheap, bahati mbaya reli zetu hazifiki maeneo mengi, na maeneo yenye uhitaji yamekuwa mengi na makubwa zaidi, halafu serikali ndiyo inang'ang'ania kuendesha biashara ya treni! Usimamizi mbovu! Ubadhirifu umetamalaki! Aaaagh, basi tu ndiyo Africa!
Aina ya wabunge ndiyo hao kina Mbatia, COVID-19 wa mfano, wengine wapiga sarakasi, wengine wananunua kuitwa Dokta, tusitegemee makubwa!Halafu cha kusikitisha zaidi kila mwaka shirika la reli linapata hasara.
Nina uhakika hii miradi ya Reli angepewa mtu kama Bakhresa aiendeshe serikali ingepata pesa nyingi sana ya kodi na pia sisi wateja tungepata huduma bora na ya uhakika kuliko hivi sasa inavyoendeshwa na hawa wapigaji wa TRC.