Kwanini hatuwezi kufanya utalii Ikulu?

Kwanini hatuwezi kufanya utalii Ikulu?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani.

Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana.

Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
 
Hapo haiwezekani isipokuwa kwa kibali maalum kutoka kwenye vyombo vya usalama,mgeni wa Rais au mwaliko wa Rais.
 
Nafikiri hiyo inatokana na intelijensia na teknolojia yao kuwa juu.

hata ajira ya CIA wanatangaza wazi, tofauti na TISS hapa kwetu.
🤣🤣🤣😂😂😂sasa sisi na marekani wapi wana intelijensia na teknolojia kubwa ?
 
Waambie watuondolee ule uzio wa magogoni unatunyima haki ya kutumia barabara ile ya feri agha khan mwambao Mwa bahari, aliyeuweka hayupo alilinda mwili akasahu kulinda Roho.
Bwana asipoulinda mji walindao ukesha bure.
Naunga mkono hoja, na kwa kutumia daraja la Tanzanite, dakika 10 unatoka ferry hadi Masaki na Msasani
 
Ile njia ya ikulu feri ifunguliwe Ili mtu akitoka kigamboni aambae mwambao akavuke daraja la Tanzania pasipo kulazimika kurudi tena city center.
Ikulu ipo Dodoma uzio dar wa nn.
Kwann mnawanyima watu haki ya kutumia barabara.
Tangu mkoloni hadi awamu ya nne watu wanapita kwa raha zao.
 
Back
Top Bottom