Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
🤣🤣🤣😂😂😂sasa sisi na marekani wapi wana intelijensia na teknolojia kubwa ?Nafikiri hiyo inatokana na intelijensia na teknolojia yao kuwa juu.
hata ajira ya CIA wanatangaza wazi, tofauti na TISS hapa kwetu.
Those days...Nlipokuwa shule ya msingi tulidhuru kishule mbona....
Rais alikuwa mwinyi nakumbuka
Ova
Naunga mkono hoja, na kwa kutumia daraja la Tanzanite, dakika 10 unatoka ferry hadi Masaki na MsasaniWaambie watuondolee ule uzio wa magogoni unatunyima haki ya kutumia barabara ile ya feri agha khan mwambao Mwa bahari, aliyeuweka hayupo alilinda mwili akasahu kulinda Roho.
Bwana asipoulinda mji walindao ukesha bure.
Kwa njeHapo haiwezekani isipokuwa kwa kibali maalum kutoka kwenye vyombo vya usalama,mgeni wa Rais au mwaliko wa Rais.
Kumbe imefungwa ila Tanzania ushamba sanaNaunga mkono hoja, na kwa kutumia daraja la Tanzanite, dakika 10 unatoka ferry hadi Masaki na Msasani
Yote hayo aliyasababisha mtukufu jiweKumbe imefungwa ila Tanzania ushamba sana