Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sababu umri wangu umeshapita level ya kuwa excited .na hawa wasanii wa Bongo.Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia kama mwehu.
Wewemri
si ndio vibe yenyewe wanasema mkuu?Sasa unalipia halafu anaimba kidogo anawaacha muimbe mkiimba vibaya
Anawachapa na “sijasikia”
“Mbona hamna vibe basi naondoka”
Sasa ulipie kwanini?
Mimi hata kwenye maharusi huwa siendi kwa sababu ya ujinga huo huo,mara simameni,mara gongeni cheers,mara bibi harusi amependeza au hajapendeza,utafikiri mpo kindergarten...Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia.
Wewe je?
AaahaaaaUnaimbishwa huku umetoa hela,msanii anakimbia kimbia huku boxer yote nje
unakuta mtu kaenda studio ana record wimbo huku anaimba mwenyewe alafu ukimleta live hawezi kuimba wimbo wake hawezi. sasa kuna haja gani ya kwenda kumshangaa mtu alieshindwa kuimba wimbo wake aliorecord mwenyewe na kubaki kutupigia makelele huku ana ruka ruka .Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia.
Wewe je?
Uko kama mimi mkuu, imagine umelipa kiingilio mtu anakutesa badala ya kukuburudisha Mara twende kushoto kulia, say yeyooo,washa techi, piga kelele.Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia.
Wewe je?